Passport online Application form (Immigration)

M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
1,788
Points
2,000
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
1,788 2,000
Habari zenu wadau.
Naomba msaada kwa aliyewah kujaza hizo fomu au mwenye uzoefu wa kujaza hizo fomu.
Jana nilikuwa najaza hizo fomu kwa ajili ya kupata passport mpya,Sasa nikajaza vipengele vyote Hadi nikafika pale kwenye kuattach documents ambazo ni barua ya mtendaji,vyeti vya kuzaliwa.
Lakini nikawa naatach halaf nikiupload inanigomea na baadae ikaniletea error ilyoandikwa "There is a problem with the resources (error 500)"

Kuanzia jana nahangaika haitaki kufunguka Tena ile form.
Sasa nahitaji kujua hii error inasababishwa na nini? shida ni simu yangu au website yao ndio ina shida? au kila aliyejaza hyo fomu kilimtokea kitu Kama hicho maana bado sijapata control number ili nilipie niendelee na hatua za mbele.

Na pia sijajua control number huwa inatolewa baada ya muda gani na wanaituma kwa njia gani?
Nimeweka na picha hapo chini kwa ajili ya reference.
Naombeni majibu.
Ahsanteni.
screenshot_20190814-154610-jpeg.1181242
 
Metakelfin

Metakelfin

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Messages
2,759
Points
2,000
Metakelfin

Metakelfin

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2017
2,759 2,000
Wajuzi watakuja nasi tujifunze
 
Kamwene kamwene

Kamwene kamwene

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2019
Messages
314
Points
1,000
Kamwene kamwene

Kamwene kamwene

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2019
314 1,000
Wameweka namba zao kwenye tovuti yao wapigie upate jibu la uhakika
 
Richard

Richard

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2006
Messages
10,594
Points
2,000
Richard

Richard

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2006
10,594 2,000
Utapewa control number utakapoituma fomu yako baada ya kukubaliana nayo.

Pia kama uliishapewa ID ya maombi, haitakuwa ngumu kurudi tena kuendelea na kujaza kabla hujaikamilisha fomu yako.

Tatizo litakuwa ni browser ya simu yako hivyo jaribu kwenda kwenye sehemu yenye PC iaiso na migogoro ya kupakua web pages.

Otherwise website yao ipo kamili.
 
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
1,788
Points
2,000
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
1,788 2,000
Utapewa control number utakapoituma fomu yako baada ya kukubaliana nayo.

Pia kama uliishapewa ID ya maombi, haitakuwa ngumu kurudi tena kuendelea na kujaza kabla hujaikamilisha fomu yako.

Tatizo litakuwa ni browser ya simu yako hivyo jaribu kwenda kwenye sehemu yenye PC iaiso na migogoro ya kupakua web pages.

Otherwise website yao ipo kamili.
Asante sana mkuu Hilo ndio jibu nililokuwa nahitaji umenipa mwangaza.
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
30,377
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
30,377 2,000
Tumia computer usitumie simu...Cc: mahondaw
 
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
1,788
Points
2,000
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
1,788 2,000
Utapewa control number utakapoituma fomu yako baada ya kukubaliana nayo.

Pia kama uliishapewa ID ya maombi, haitakuwa ngumu kurudi tena kuendelea na kujaza kabla hujaikamilisha fomu yako.

Tatizo litakuwa ni browser ya simu yako hivyo jaribu kwenda kwenye sehemu yenye PC iaiso na migogoro ya kupakua web pages.

Otherwise website yao ipo kamili.
Mkuu sorry nimetumia computer nikafuata hatua zote mpaka nikadownload form.
Ila Kuna kitu kingine nahitaji kufahamu.
Baada ya kuichapisha form kule mwishoni nikaona kipengele kimeandikwa wadhamini ambacho kabla ya kuchapisha sikukiona.
Sasa je kile kipengele ni Nani anastahili kukijaza?na je huyo mdhamini anatakiwa ajaze hiyo sehemu kwa kutumia kalamu?au niache Kama ilivyo na kuipeleka hiyo fomu uhamiaji hao ndio wanajaza?
Asante.
 
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
1,788
Points
2,000
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
1,788 2,000
Mkuu sorry nimetumia computer nikafuata hatua zote mpaka nikadownload form.
Ila Kuna kitu kingine nahitaji kufahamu.
Baada ya kuichapisha form kule mwishoni nikaona kipengele kimeandikwa wadhamini ambacho kabla ya kuchapisha sikukiona.
Sasa je kile kipengele ni Nani anastahili kukijaza?na je huyo mdhamini anatakiwa ajaze hiyo sehemu kwa kutumia kalamu?au niache Kama ilivyo na kuipeleka hiyo fomu uhamiaji hao ndio wanajaza?
Asante.
Nimeongezea na picha kwa msaada zaidi.
screenshot_20190815-122153-jpeg.1181970
 
Richard

Richard

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2006
Messages
10,594
Points
2,000
Richard

Richard

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2006
10,594 2,000
Nimeongezea na picha kwa msaada zaidi.View attachment 1181970
Hiyo fomu itabidi uiache na uipeleke kama ilivyo nafikiri wenyewe watakwambia cha kufanya.

Ila uwe na taarifa za hao wadhamini kama backup.

Nafikiri hicho kipengele kimekuwepo hapo tangu ile fomu ya awali na hatukuwa tukijaza hiyo sehemu.
 
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
1,788
Points
2,000
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
1,788 2,000
Hiyo fomu itabidi uiache na uipeleke kama ilivyo nafikiri wenyewe watakwambia cha kufanya.

Ila uwe na taarifa za hao wadhamini kama backup.

Nafikiri hicho kipengele kimekuwepo hapo tangu ile fomu ya awali na hatukuwa tukijaza hiyo sehemu.
Ooh sawa maana ilishanivuruga kuona mara wadhamini,mara Shahidi.
Maana ingenipotezea muda sana kuanza kuwasaka hao watu.
 
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Messages
6,025
Points
2,000
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2016
6,025 2,000
Kwa unaeupdate passport (kutoka kawaida kwenda e-passport) mfumo ni huo huo ama kuna shortcut?.
 
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
1,788
Points
2,000
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
1,788 2,000
Kwa unaeupdate passport (kutoka kawaida kwenda e-passport) mfumo ni huo huo ama kuna shortcut?.
Mfumo huo huo mmoja hata Mimi mwenyewe Nina passport ya zamani ndio nafanya hizi process nipate e-passport
 
Forum statistics

Threads 1,326,963
Members 509,644
Posts 32,241,849
Top