Passport inachukua mda gani

Ukiihitaji kwa haraka weka zaidi ya hiyo 50,000/-. Ndani ya wiki inakamilika kabisa.
 
Wale jamaa wanapenda sana ''kuwezeshwa''. In principle ndani ya wiki moja unapata passport kama viambatanisho vipo sawasawa (form kujazwa bila makosa, birth certificate, barua ya mwajiri (if applicable) kuthibitisha safari yako etc etc). Wengine huwa wanazipata ndani ya siku tatu
 
Mambo kama haya ndio yanasababisha mtu asie raia wa taifa husika akaonekana raia halafu badae kosa lako linaichafua Nchi.
 
Bongo ukitaka spare parts za ndege aina ya Airbus unapata hela yako tu. Passport hata siku moja unapata ukiwawezesha wanaweza.
 
Back
Top Bottom