Nakumbuka siku ambayo mtukufu rais alipofanya mkutano wa waandishi wa habari, wewe ulialikwa kama mwandishi huru na ulimpongeza sana Gerson Msigwa, mkuu wa kitengo cha habari Ikulu kwa kukualika na ulisema ni mara ya kwanza mwandishi wa style yako kualikwa ikulu,
Ulimuuliza mheshimiwa rais kwamba '' Mamlaka ya kuzuia mikutano ya vyama vya siasa ambayo ipo kwa mujibu wa katiba ya nchi, mikutano ya vyama vya siasa ambayo ipo kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa, uliquote pia katiba ya nchi sura ya 18, sura inayompa uhuru mwananchi kupata habari, uhuru wa kujieleza, na ulihoji je ni katiba hiyohiyo ndo impa mamlaka mtukufu rais au ni presidential decree? Nadhan mheheshimwa hakukujibu na hukudemand jibu la swali lako,
swali langu kwako ni je ulishapata jibu la swahil hili? nakama mwandishi wa siku nyingi, sababu ambayo imekuwa ikitolewa juu ya katazo hilo ni kwamba watu wafanye kazi,(binafsi haingii akilini kwangu) je wewe inakuingia akilini? je nchi ambazo democracy kwao iko kwa kiwango cha juu sana unadhani hawafanyi kazi? Ghana ambayo ni cnhi ya kwanza Africa kwa kupractise democracy tunalingana nayo kiuchumi?
Kama hujapewa jibu, wew kwa kuhisi kwako unadhani kwa nini mikutano ilikatazwa hali katiba na sheria ya vyama vya siasa inaruhusu? je ni uvunjaji wa katiba au ni sawa kwa sababu ni neno la mamlaka, kama ni neno la mamlaka ni sheria je mamlaka zipo juu ya sheria au sheria (Katiba) iko juu ya mamlaka?