Paschal Mayalla: Matangazo ya kumnadi Magufuli Star TV yamelipiwa kiasi gani na CCM?

.

Mkubwa una hoja nzuri ila hujatutendea haki,hoji walalamikaji mnataka nini? siyo watanzania wote tuna tabia hizo za kitoto za kupinga kila jambo.Kuna kundi dogo la jamii yetu wanaoamini kuwa kupinga na kulalamikia kila jambo ni suluhu ya shida zao.

Mkuu huyo Banza Jr ni mgeni amejiunga juzi tu na wala taratibu za humu hazijui. Inashangaza kuona mgeni ameingia ghafla kulitawala jukwaa na kuanza kuwashutumu wenyeji humu!!
 
Pascal nawe tuambie umelamba ngapi kwa Lowassa maana toka anagombea akiwa Ccm unaye. Tunafahamu kuwa na wewe ni mmoja wa Nyumbu wanaelekea anapoelekea mmoja. Hapa ni kazi tu. Nyumbu na viroba na vichaa wa Bavicha kwa Lowassa. Great thinkers kwa Magufuli tu. Pascal unakula matapishi yako. Jinukuu uliyoyasema kuhusu Ukawa huko nyuma. Kura zoooooote kwa Dr Magufuli
Jaman twaweza si walisema wasiokwenda shule,wasiojielewa na maskini ndo CCM au walitudanganya walivosena wasomi wengi ni CDM.....sijui ao ma great thinker vilaza wana think nn

Post sent using JamiiForums mobile app
 
.

Mkubwa una hoja nzuri ila hujatutendea haki,hoji walalamikaji mnataka nini? siyo watanzania wote tuna tabia hizo za kitoto za kupinga kila jambo.Kuna kundi dogo la jamii yetu wanaoamini kuwa kupinga na kulalamikia kila jambo ni suluhu ya shida zao.
Nashukuru walau ndugu yangu umenielewa, then ahsante kwa kuniweka sawa hapo kwa kutumia Watanzania kwa ujumla,..
Thanks a lot
 
Nimepata mashaka kama kweli neno "insurbordination" unalijua vyema, halina maana ya kukaidi amri ya kiongozi hata kidogo. Maana yake ni "kufanya mambo ambayo kiongozi wa juu yako ndiye aliyetakiwa kufanya, au kutoa amri ambayo wa juu yako ndiye kimsingi anastahili kufanya" na vitendo hivi vifanyike tu bila kiongozi wako kujua. Mfano Mkuu wa Wilaya X kupeperusha bendera ya Taifa kwenye Wilaya jirani na yake jambo ambalo linafanywa na Mkuu wa Mkoa , Mkuu wa Wilaya kuongelea mambo ya Mkoa mzima kama kutoa takwimu za mkoa mzima bila mkuu wa Mkoa kumtuma kufanya hivyo" Hiyo ndiyo insurbordination na siyo kukaidi Amri. Jamani nivizuri tukatumia vizuri lugha za watu ili tusije tukapotosha umma badala ya kuelimisha.

Sent from my SM-E700H using JamiiForums mobile app
defiance of authority; refusal to obey orders.watu wenye mamlaka au mabosi hawapendi hii,pasko yupo sawa mkuu
 
Back
Top Bottom