jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 8,816
- 7,590
Wanaokubishia hawajasoma Computer Studies, ila unasema kweli..Internet zilitoka jeshini, fact...Internet ilitolewa jeshini na kumwagwa uraiani ili kuua uwezo wa serikali za dunia kuzidhibiti habari inayopendwa kama ile story ya AFRICA NOW.