Paschal Mayala wa JF anavyokejeli halafu anajifanya kujiondoa uhusika

Inabidi tumpe taarifa Shonza aende kumtisha mmiliki wa hilo gazeti maana kasema serikali ya sasa hv haijaribiwi

Internet ilitolewa jeshini na kumwagwa uraiani ili kuua uwezo wa serikali za dunia kuzidhibiti habari inayopendwa kama ile story ya AFRICA NOW.

Hakuna ukweli wowote ndio maana nimekuambia muulize mtoa mada. Hiyo makala ya Sokoine ni ipi. Na ni nani aliyetoa amri ya kutokuingizwa Africa Now?
 
Naona mnyukano mkali kabla hata paschal mayala hajaja kujibu hatariii
Acheni kumlisha maneno mbona msemaji wa serikali akifungia gazeti anasema na sababu ikiwa pamoja na kuonyesha sehemu zilizofanya uchochezi kwenye gazeti na kulitaja sembuse Pasco, tungemuamini vipi kwenye tahadhari yake.
Nyinyi akili mgando mna tabu sana
Mwacheni Rais achape kazi sio maneno maneno
 
anajipanga kwa kujibu mashambulizi

pasco ni mwandishi Mzuri sana

anajua kupanga hoja na pia kuhusu kuuma na kupuliza ni utaalamu tu wa kuepuka dhahma ya dola

je ulishawahi kusikia Mbowe katuhumiwa kwa uchochezi? kwa sababu anajua kupanga hoja
 
anajipanga kwa kujibu mashambulizi

pasco ni mwandishi Mzuri sana

anajua kupanga hoja na pia kuhusu kuuma na kupuliza ni utaalamu tu wa kuepuka dhahma ya dola

je ulishawahi kusikia Mbowe katuhumiwa kwa uchochezi? kwa sababu anajua kupanga hoja
 
Paskali ni mtu wa kungata na kupuliza....
Anatafuta nafasi ateuluwe na seriksli awamu hii
Paskali usimpe mdhamanaaa kbsa maana itakula kwako

Ova
 
Abunuwasi(abunuas) alipokutana na mpita njia mmoja asiyemjua alianza kwa kumtahadharisha kuwa "ewe mpita njia,angalia usije ukanyooka na njia hii hadi pale njia panda,kisha ukakata kushoto na kwenda mbele kidogo kisha ukakunja kulia na kuona nyumba moja kuukuu yenye mlango ambao haujafungwa kisha ukausukuma na kuingia ndani na kukuta sahani iliyofunikwa mezani kisha ukafunua na kukuta chakula kitamu na kukila chote bila kubakisha" yule mpita njia alipojaribu kufuata maelekezo hayo na kukuta ni sahihi na kula chakula kile cha Abunuas,abunuwas alifurahi!! Kwani alipata chanzo cha sababu ya kumtwanga mfalme Rungu la kichwa mchana kweupe! Thumb up pasco
Umepindisha hadithi ya abunuasi inzi anahusika
 
Umepindisha hadithi ya abunuasi inzi anahusika
Sijapindisha mkuu ila nimekatisha! Kama yule mtu asingekula kile chakula huyo inzi angesingiziwaje? Ndiyo maana nimeandika "Abunuas alifurahi kwani alipata CHANZO cha SABABU ya kumtwanga mfalme kwa kisingizio kuwa alikuwa akiua inzi!
 
Back
Top Bottom