Pascally Mayalla tutajie legacy ambazo Makamba tangu atumikie jumba jeupe aliziacha mpaka umpe cheo hicho

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,011
8,358
Sikubalian na hoja ya Pascally Mayalla ya kudai kuwa heti Jamuary Makamba anafaaa kuwa Rais wa Tanzania!

Niseme tu,zama zilizo pita kuna uwezekano mkunwa watu waliokuwa watumishi wa nchi hii walitumika na baada e kuwa watawala paspo kutwambia nn walifanya huko nyuma ili tuwape madaraka makubwa zama hizo zmepita!

Ilifaaa mkapa,atwambie yeye kama mwanahabari, alifanya nini huko kwa kutumia taaluma yake? Ilifaaa tumuhoji Kikwete alipokuwa waziri wa mambo ya nje alifanya nini huko? Jeshini je ameacha nini ambacho tukienda jishini tutasema hili liliachwa na kikwete jeshini?

Leo hii pascally Mayalla, kikwetu njaa! Au alizaliwa wakati wa njaa,anakuja na Jina la January Makamba anafaaa kuwa Rais,hiv pascally unajua Makamba alikuwa mtumishi mzuri pale Ikulu?

Hiv unajua akiwa Ikulu alikuwa Mwandishi wa hotuba za Rais?je hutuba gani Makamba aliandik na anajua kabsa mpka leo ile hotuba iligusa wananchi wa hali ya chini?

Ni hotuba gani aliyoiandika ikaakisi ukweli wa hali za watanzania? Kuwa mwamdishi wa hotuba tunaweza sema kuwa yeye alikuwa miongoni mwa washauri wa Rais je alimshaur nini Mh Rais aliyepita?

Makamba aliacha nini Ikulu?
Baadae akawa Naibu waziri wa mambo ya nje! Wachambuzi wanasema alikuwa wakala wa safari za nje Rais aliyepita yaani wanadai yy alikuwa ni MTAFUTA MIARIKO YA NJE YA RAIS! na kwa ili alifanikiwa sana sasa kama wataka awe Rais ili awe mtalii wa kwenda kubebea nchini hapo sawa ila sio taifa ili aise!

Sasa ni waziri wa Wizara ya Muungano na mazingira,tunataka aseme nini anachofanga hapo na atakapo toka aje atwambie kuwa amefanya na ameacha amefanya ilayaliyobakia anataka ayafanye akiwa Rais,uraisi sio kunukuuu mistari ya Bibilia bhana na koroani ingekuwa hivyo basi Baba yake mzazi tungempa Urais wa nchini hii!

Vijana mjifunze kuacha LIGACY kwa kufanya vitu vinavyoonekana kwa nchi na kwa wananchi la sivyo mtaacha uongozi na kustaafu mkiwa vijana!

Cc:Nape Nauye,Mwigulu nchemba,january Makamba, wengine ni kama,Wakina Happy ,Makonda na wengine wengo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo kila asemacho Pascal Mayalla lazima ukikubali naye ni maoni yake,
Nawe pia waweza mpinga kwa point zako ukatushawishi,

Kwa kifupi kutumikia Ikulu au kukaa ikulu au kujinasibisha na ikulu siyo sifa pekee ya kukufanya uukwae urais,

Kuna watu wengi wamekaa ikulu zaid ya kikwete, lakin hawajawahi kuwa hata marais,

Kwa Kifupi mnamsababishia Makamba matatizo ya kutokuja kuigusa ikulu kama kiongozi wa nchi, nadhani mifano mnayo kibao, mfano Membe, na wengine kina Lowassa ambao walionekana wanapenda saana kwenda Ikulu, lakin hata umakamu wa Rais hawakuupata,

Leo hii Makamba mnaanza kumtaja taja kumuharibia,

Japo nina sababu za msingi kwanini Makamba hawezi kuwa Rais wa nchi hii

Britannica
 
Kuchukua mamilioni ya fedha kutoka kwa wafanyabiashara , wahindi kwa waafrica ili wawekwe kwenye orodha ya kuonana na Rais , sijui kama wadau mmesahau hili
 
Maria Sarungi angekuwa Raisi mzuri Kuliko Magufuli..
Acha dharau we si ndo ulikuwa unamshabikia Magufuli na kuwatukana wapinzani?? Inamaana ulikuwa umekuwa kichaa,

Ukweli mchungu sana kwa kizazi hiki Magufuli pamoja na mapungufu yake ndo rais aliyehitajika
 
Siyo kila asemacho Pascal Mayalla lazima ukikubali naye ni maoni yake,
Nawe pia waweza mpinga kwa point zako ukatushawishi,

Kwa kifupi kutumikia Ikulu au kukaa ikulu au kujinasibisha na ikulu siyo sifa pekee ya kukufanya uukwae urais,

Kuna watu wengi wamekaa ikulu zaid ya kikwete, lakin hawajawahi kuwa hata marais,

Kwa Kifupi mnamsababishia Makamba matatizo ya kutokuja kuigusa ikulu kama kiongozi wa nchi, nadhani mifano mnayo kibao, mfano Membe, na wengine kina Lowassa ambao walionekana wanapenda saana kwenda Ikulu, lakin hata umakamu wa Rais hawakuupata,

Leo hii Makamba mnaanza kumtaja taja kumuharibia,

Japo nina sababu za msingi kwanini Makamba hawezi kuwa Rais wa nchi hii

Britannica
Mkuu mi mmoja wa wafuatiliaji wa mabandiko yako, unahisi kwanini makamba hawezi kuwa Rais?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikubalian na hoja ya Pascally Mayalla ya kudai kuwa heti Jamuary Makamba anafaaa kuwa Rais wa Tanzania!

Niseme tu,zama zilizo pita kuna uwezekano mkunwa watu waliokuwa watumishi wa nchi hii walitumika na baada e kuwa watawala paspo kutwambia nn walifanya huko nyuma ili tuwape madaraka makubwa zama hizo zmepita!

Ilifaaa mkapa,atwambie yeye kama mwanahabari, alifanya nini huko kwa kutumia taaluma yake? Ilifaaa tumuhoji Kikwete alipokuwa waziri wa mambo ya nje alifanya nini huko? Jeshini je ameacha nini ambacho tukienda jishini tutasema hili liliachwa na kikwete jeshini?

Leo hii pascally Mayalla, kikwetu njaa! Au alizaliwa wakati wa njaa,anakuja na Jina la January Makamba anafaaa kuwa Rais,hiv pascally unajua Makamba alikuwa mtumishi mzuri pale Ikulu?

Hiv unajua akiwa Ikulu alikuwa Mwandishi wa hotuba za Rais?je hutuba gani Makamba aliandik na anajua kabsa mpka leo ile hotuba iligusa wananchi wa hali ya chini?

Ni hotuba gani aliyoiandika ikaakisi ukweli wa hali za watanzania? Kuwa mwamdishi wa hotuba tunaweza sema kuwa yeye alikuwa miongoni mwa washauri wa Rais je alimshaur nini Mh Rais aliyepita?

Makamba aliacha nini Ikulu?
Baadae akawa Naibu waziri wa mambo ya nje! Wachambuzi wanasema alikuwa wakala wa safari za nje Rais aliyepita yaani wanadai yy alikuwa ni MTAFUTA MIARIKO YA NJE YA RAIS! na kwa ili alifanikiwa sana sasa kama wataka awe Rais ili awe mtalii wa kwenda kubebea nchini hapo sawa ila sio taifa ili aise!

Sasa ni waziri wa Wizara ya Muungano na mazingira,tunataka aseme nini anachofanga hapo na atakapo toka aje atwambie kuwa amefanya na ameacha amefanya ilayaliyobakia anataka ayafanye akiwa Rais,uraisi sio kunukuuu mistari ya Bibilia bhana na koroani ingekuwa hivyo basi Baba yake mzazi tungempa Urais wa nchini hii!

Vijana mjifunze kuacha LIGACY kwa kufanya vitu vinavyoonekana kwa nchi na kwa wananchi la sivyo mtaacha uongozi na kustaafu mkiwa vijana!

Cc:Nape Nauye,Mwigulu nchemba,january Makamba, wengine ni kama,Wakina Happy ,Makonda na wengine wengo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wewe unaweza kuwa Rais ukiandaliwa. So hayo ni mawazo yake tu kama wanaoamini Tundu na kundi lake.
 
January hajawahi kuwa Naibu Waziri mambo ya nje........hapo umechapia!
 
Makamba hajawahi kua Naibu Waziri pale mambo ya nje,alikua Naibu Waziri wa Mawasiliano serikali ya Jakaya.... Jaribu kua na kumbukumbu nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mi mmoja wa wafuatiliaji wa mabandiko yako, unahisi kwanini makamba hawezi kuwa Rais?

Sent using Jamii Forums mobile app
si vema kuanika sababu hizo hapa kwa maana hazijawa verified lakin msukumo wa ndani ya CCM si rahisi Makamba, kuwa rais wa nchii hii,

kwa hali ilivyo Hussein Mwinyi, au Majaliwa Kassimu wana nafasi kubwa kuliko Makamba, na nguvu kubwa inatumika kuhakikisha ilo linakuwa,

lakin Tujue kwamba Mungu akiamua jambo anakuwa kaamua si lazima tuyafuate yanayolazimishwa na binadamu
 
January ni moja ya vijana wanojielewa sana lakin suala la urais tutarijadili 2025 mana najua kwa akili za watanzania wote hata mimi naweza kuiongoza Tanzania mana unayapeleka yanavotaka hata kuhoji hayawezi kama mang'ombe vile haraf mengine yamebaki kupinga kila kitu mengine yamekaa ku support kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha dharau we si ndo ulikuwa unamshabikia Magufuli na kuwatukana wapinzani?? Inamaana ulikuwa umekuwa kichaa,

Ukweli mchungu sana kwa kizazi hiki Magufuli pamoja na mapungufu yake ndo rais aliyehitajika
Nimeshakihama chama Cha Mapinduzi mbona mnashundwa kunielewa.
 
January ni moja ya vijana wanojielewa sana lakin suala la urais tutarijadili 2025 mana najua kwa akili za watanzania wote hata mimi naweza kuiongoza Tanzania mana unayapeleka yanavotaka hata kuhoji hayawezi kama mang'ombe vile haraf mengine yamebaki kupinga kila kitu mengine yamekaa ku support kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app

Hamna January ni hovyo kabisa
Hafai hata kuongoza paredi ya kunguni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeyote anaweza kuwa Rais kama ana umri wa miaka 40 na kuendelea,kama ana elimu ya kuanzia shahaya ya kwanza, kama ni Mtanzania wa kuzaliwa kwa baba na mama, kama ana akili timamu, kama ana afya ya kumwezesha kufanya shughuli za urais, kama anatokana na chama cha siasa kilicho sajiliwa Tanzania.

Hayo ndiyo matakwa ya kikatiba ya mtu yeyote kuwa rais. Hata Pascal Mayalla ni presidential material. Hajaaumua tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom