Pascal Mayalla: Waandishi wa habari ni waoga nimewaalika tujadili hotuba ya Rais Magufuli wamepiga chenga na kuingia mitini

Kwanza niwapongeze sana hao waandishi waliokacha huo mwaliko. Binafsi tangu 2016 niliacha kabisa kufuatili kipindi hiki cha ndugu Dotto Bulendo mpaka leo 23/5/2020.

Kifupi nimesikitishwa sana na mjadala wa leo na kwa namna ya pekee mchango wa ndugu yetu P.

1. Eti Trump ameanza kumuiga Rais na tunakokwenda rais anakwenda kuwa shujaa wa dunia by P. Najiuliza hivi dunia na Marekeni kuanza kulegeza mashart ya lockdown ni kumuiga rais wetu? Tujiulize Trump na ulaya walitangaza lockdown kwa muda gani? Wanachoiga ni namna ya kuokoa uchumi au namna ya kupambana na koona?

2. Imagine Mwandishi/Moses anashangaa kwanini waandishi wa habari hawamuhoji rais ili kupata taarifa wakati ni haki kisheria!! Moses kama mwandishi kweli anajitambua ? Ni sawa na Pascal kushangaa kwanini aliowaalika hawajatokea na kwanini waandishi wa habari hawajafuatilia sababu za kutumbuliwa wataalamu wa Afya wanne at the same time he is support Corona data zisitolewe.

3. Pascal anampongeza rais kwa kutatua mgogoro wa mpaka wa Tz na Kenya! Jiulize anachopongeza kipi? Taarifa za wanaopimwa kutotaja nchi wanazotoka? Hoja yake rais aliacha wadogo (wakuu wa mikoa) wasigane ndipo akaingilia. Amesahau kama rais wa Kenya ndiye aliyetangaza kufungwa kwa mipaka kwa siku 30!! Je, Kenyatta mdogo kwa upande wa Kenya? P anajirahisisha kuamini wakuu wa mikoa 3 walifunga mipaka bila baraka ya boss wao ila waziri wa Afya aliwatumbua wataalamu wa wizara ya Afya kwa baraka ya boss wake. Hivi anajua kama Balozi wa Kenya alipoongea na vyombo vya habari alisema ameagizwa na Rais Kenyatta? Anajua kama Kenyatta ndiye aliyesema adui yetu ni Corona? Je, kama rais alimpongeza balozi wa Kenya kwa speech nzuri, je alikuwa anampongeza balozi au Uhuru Kenyata aliyemtuma??

4. P. ameshindwa kueleza kwanini waziri mkuu alipotangaza kufungwa kwa shule na vyuo, magazeti yaliandika serikali ya funga shule na vyuo lakini rais alipotangaza kufungua vyuo na kidato cha sita magazeti yameandika Magufuli afungua vyuo na kidato cha sita sio serikali!!! Kweli P. hajui? Nimkumbushe P, pinda alishawahi lia bungeni hata sema kama angekuwa na maamuzi kwa nyakati tofauti!! Hivi waziri mkuu anaweza amua kufunga shule bila maamuzi au baraka ya boss wake? Hivi kweli P. anaamini wakuu wa mikoa wanaweza funga mipaka na nchi jirani bila baraka ya boss wao? Anafikiri waandishi wa habari wakiandika serikali yafunga mpaka na Kenya wameandika kwa bahati mbaya? Hivi kweli P. anafikiri mwandishi mwenye akili timamu anaweza andika Gambo afunga mpaka na Kenya wakati anajua wakuu wa mikoa hawana mamlaka hayo??

Tuna safari ndefu sana kuifikia Tz tuipendayo!!
 
Mjadala wa leo katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari kinachorushwa mubashara na Star tv mada ni Hotuba ya Rais aliyoitoa wakati wa anawaapisha wateule wake.

Pascal Mayalla anasema aliwaalika waandishi wa habari katika mjadala lakini wote wameingia mitini.

Pascal anadai waandishi wetu ni wajanja wajanja kwenye mitandao tu lakini inapofika kwenye mijadala huru ni kunguru na waoga kupitiliza, wanafunga plasta midomoni.

Pascal anasema kwa mfumo wa katiba ya Tanzania Rais ndio mwenye maamuzi ya mwisho na tamko lake ni sheria tofauti na nchi kama Marekani ndio maana anateua Jaji mkuu na Katibu wa bunge.

Pascal anasisitiza kuwa Rais Magufuli ni mtu mwenye maamuzi sahihi yaani yeye ni master diplomat ndio maana Rais Trump wa USA sasa anaiga kutoka Tanzania ikiwemo kufungulia makanisa.

Kadhalika majirani zetu wamejifunza kutoka kwetu na sasa wamefungua mipaka tena kwa kufuata masharti yetu kwamba madereva wetu watapimwa hapa nchini.

Pascal anasema Ummy Mwalimu ni waziri wa kupigiwa mfano kwa sababu madaktari bingwa watano waliokuwa wasaidizi akiwemo Naibu waziri wa afya wametumbuliwa lakini yeye pekee ambaye siyo daktari kitaaluma ndio amebakia.

Pascal anasema waziri Ummy anafuata zaidi uhalisia kuliko matakwa ya kitaaluma ndio maana amekuwa akieleweka zaidi kwa Rais Magufuli.

Mjadala umemalizika, shukrani Dotto Bulendu kwa kazi nzuri ya kuongoza kipindi.

Kipindi kiko hewani, karibu.

Maendeleo hayana vyama!

Kaka Pascal hii sekta ya habari ni nyeti na bahati mbaya ina watu wengi ambao kimsingi wapo huko bahati mbaya na wengi hawakufanya vizuri secondary kwa moja ya options ni kusoma uandishi, usiwashangae sana maana hawaelewi hazina yao, mathalani kuitikia with haimanishi wanalazimika kuikosoa hotuba, mtu ana uhuru wa kweli, uhuru wa kinafiki, kutumwa, kitaluma, mlengo, kishabiki, umakusudi, kijipofusha, kujichizisha, mazingira, kutetea tumbo, kuvizia cheo, kutunza ama kupoteza urafiki.

Hii iwe ni kipimo cha kutathmini weledi, ufahamu na ukomavu na kujitambua, maana kualikwa si kuamrisha kitu cha kuzungumza. Watu wajivunie kuwa waandishi wa habari nadhani hawajui thamani yao.
 
Kwanza niwapongeze sana hao waandishi waliokacha huo mwaliko. Binafsi tangu 2016 niliacha kabisa kufuatili kipindi hiki cha ndugu Dotto Bulendo mpaka leo 23/5/2020.

Kifupi nimesikitishwa sana na mjadala wa leo na kwa namna ya pekee mchango wa ndugu yetu P.

1. Eti Trump ameanza kumuiga Rais na tunakokwenda rais anakwenda kuwa shujaa wa dunia by P. Najiuliza hivi dunia na Marekeni kuanza kulegeza mashart ya lockdown ni kumuiga rais wetu? Tujiulize Trump na ulaya walitangaza lockdown kwa muda gani? Wanachoiga ni namna ya kuokoa uchumi au namna ya kupambana na koona?

2. Imagine Mwandishi/Moses anashangaa kwanini waandishi wa habari hawamuhoji rais ili kupata taarifa wakati ni haki kisheria!! Moses kama mwandishi kweli anajitambua ? Ni sawa na Pascal kushangaa kwanini aliowaalika hawajatokea na kwanini waandishi wa habari hawajafuatilia sababu za kutumbuliwa wataalamu wa Afya wanne at the same time he is support Corona data zisitolewe.

3. Pascal anampongeza rais kwa kutatua mgogoro wa mpaka wa Tz na Kenya! Jiulize anachopongeza kipi? Taarifa za wanaopimwa kutotaja nchi wanazotoka? Hoja yake rais aliacha wadogo (wakuu wa mikoa) wasigane ndipo akaingilia. Amesahau kama rais wa Kenya ndiye aliyetangaza kufungwa kwa mipaka kwa siku 30!! Je, Kenyatta mdogo kwa upande wa Kenya? P anajirahisisha kuamini wakuu wa mikoa 3 walifunga mipaka bila baraka ya boss wao ila waziri wa Afya aliwatumbua wataalamu wa wizara ya Afya kwa baraka ya boss wake. Hivi anajua kama Balozi wa Kenya alipoongea na vyombo vya habari alisema ameagizwa na Rais Kenyatta? Anajua kama Kenyatta ndiye aliyesema adui yetu ni Corona? Je, kama rais alimpongeza balozi wa Kenya kwa speech nzuri, je alikuwa anampongeza balozi au Uhuru Kenyata aliyemtuma??

4. P. ameshindwa kueleza kwanini waziri mkuu alipotangaza kufungwa kwa shule na vyuo, magazeti yaliandika serikali ya funga shule na vyuo lakini rais alipotangaza kufungua vyuo na kidato cha sita magazeti yameandika Magufuli afungua vyuo na kidato cha sita sio serikali!!! Kweli P. hajui? Nimkumbushe P, pinda alishawahi lia bungeni hata sema kama angekuwa na maamuzi kwa nyakati tofauti!! Hivi waziri mkuu anaweza amua kufunga shule bila maamuzi au baraka ya boss wake? Hivi kweli P. anaamini wakuu wa mikoa wanaweza funga mipaka na nchi jirani bila baraka ya boss wao? Anafikiri waandishi wa habari wakiandika serikali yafunga mpaka na Kenya wameandika kwa bahati mbaya? Hivi kweli P. anafikiri mwandishi mwenye akili timamu anaweza andika Gambo afunga mpaka na Kenya wakati anajua wakuu wa mikoa hawana mamlaka hayo??

Tuna safari ndefu sana kuifikia Tz tuipendayo!!
Naomba nikupongeze kwa andiko hili.....
Niseme wazi kuna watu kama Mayala wanafikiri kila mtanzania ni zezeta...
Imagine mtu anapata forum kama hiyo alafu bila aibu anajaribu kujustify makosa na on top of that anafanya comparison ya vitu viwili tofauti either kwa kujua ama kutokujua ila naamini ni makusudi...
Ila uzuri Muda utaongea...tusubiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjadala wa leo katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari kinachorushwa mubashara na Star tv mada ni Hotuba ya Rais aliyoitoa wakati wa anawaapisha wateule wake.

Pascal Mayalla anasema aliwaalika waandishi wa habari katika mjadala lakini wote wameingia mitini.

Pascal anadai waandishi wetu ni wajanja wajanja kwenye mitandao tu lakini inapofika kwenye mijadala huru ni kunguru na waoga kupitiliza, wanafunga plasta midomoni.

Pascal anasema kwa mfumo wa katiba ya Tanzania Rais ndio mwenye maamuzi ya mwisho na tamko lake ni sheria tofauti na nchi kama Marekani ndio maana anateua Jaji mkuu na Katibu wa bunge.

Pascal anasisitiza kuwa Rais Magufuli ni mtu mwenye maamuzi sahihi yaani yeye ni master diplomat ndio maana Rais Trump wa USA sasa anaiga kutoka Tanzania ikiwemo kufungulia makanisa.

Kadhalika majirani zetu wamejifunza kutoka kwetu na sasa wamefungua mipaka tena kwa kufuata masharti yetu kwamba madereva wetu watapimwa hapa nchini.

Pascal anasema Ummy Mwalimu ni waziri wa kupigiwa mfano kwa sababu madaktari bingwa watano waliokuwa wasaidizi akiwemo Naibu waziri wa afya wametumbuliwa lakini yeye pekee ambaye siyo daktari kitaaluma ndio amebakia.

Pascal anasema waziri Ummy anafuata zaidi uhalisia kuliko matakwa ya kitaaluma ndio maana amekuwa akieleweka zaidi kwa Rais Magufuli.

Mjadala umemalizika, shukrani Dotto Bulendu kwa kazi nzuri ya kuongoza kipindi.

Kipindi kiko hewani, karibu.

Maendeleo hayana vyama!
Mpaka leo hujui kuwa Paschal Mayalla ni Mouthpiece ya CCM na Magufuli. Toka aitwe na Speaker alibadilisha uelekeo. Bado kidogo atapewa ukuu wa wilaya au mkoa.
 
Mjadala wa leo katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari kinachorushwa mubashara na Star tv mada ni Hotuba ya Rais aliyoitoa wakati wa anawaapisha wateule wake.

Pascal Mayalla anasema aliwaalika waandishi wa habari katika mjadala lakini wote wameingia mitini.

Pascal anadai waandishi wetu ni wajanja wajanja kwenye mitandao tu lakini inapofika kwenye mijadala huru ni kunguru na waoga kupitiliza, wanafunga plasta midomoni.

Pascal anasema kwa mfumo wa katiba ya Tanzania Rais ndio mwenye maamuzi ya mwisho na tamko lake ni sheria tofauti na nchi kama Marekani ndio maana anateua Jaji mkuu na Katibu wa bunge.

Pascal anasisitiza kuwa Rais Magufuli ni mtu mwenye maamuzi sahihi yaani yeye ni master diplomat ndio maana Rais Trump wa USA sasa anaiga kutoka Tanzania ikiwemo kufungulia makanisa.

Kadhalika majirani zetu wamejifunza kutoka kwetu na sasa wamefungua mipaka tena kwa kufuata masharti yetu kwamba madereva wetu watapimwa hapa nchini.

Pascal anasema Ummy Mwalimu ni waziri wa kupigiwa mfano kwa sababu madaktari bingwa watano waliokuwa wasaidizi akiwemo Naibu waziri wa afya wametumbuliwa lakini yeye pekee ambaye siyo daktari kitaaluma ndio amebakia.

Pascal anasema waziri Ummy anafuata zaidi uhalisia kuliko matakwa ya kitaaluma ndio maana amekuwa akieleweka zaidi kwa Rais Magufuli.

Mjadala umemalizika, shukrani Dotto Bulendu kwa kazi nzuri ya kuongoza kipindi.

Kipindi kiko hewani, karibu.

Maendeleo hayana vyama!
ww c msaka tonge tu
 
Lockdown ilikuwa ni ya siku 30 tu! Na wamefungua maana muda umeisha. Lockdown haikuwa ya mwaka au mpaka dawa ipatikane ilikuwa ya siku 30. Ili kupinguza maambukizi na kuelewa ugojwa vizuri lakini kikubwa ni kutoa muda viwanda kutengeneza PPE vifaa vya kujikinga hasa madaktari.
 
Bora waingie mitini kuliko kwenda kusifia wasicho kuamini, wewe unafikiri wagonjwa wamepungua hospital bila kujuwa hali ya majumbani ukoje, ni sawa? Hatujui maabara inafanya kazi au bado inachekechwa, takwimu hamna mnajadili nini?

Waache wenzio usiwatie majaribuni, wengine hawawezi kujizuia kama wewe!
Huyo mnafiki tu anataka awatege ili wafungwe kama Kabendera
 
Mjadala wa leo katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari kinachorushwa mubashara na Star tv mada ni Hotuba ya Rais aliyoitoa wakati wa anawaapisha wateule wake.

Pascal Mayalla anasema aliwaalika waandishi wa habari katika mjadala lakini wote wameingia mitini.

Pascal anadai waandishi wetu ni wajanja wajanja kwenye mitandao tu lakini inapofika kwenye mijadala huru ni kunguru na waoga kupitiliza, wanafunga plasta midomoni.

Pascal anasema kwa mfumo wa katiba ya Tanzania Rais ndio mwenye maamuzi ya mwisho na tamko lake ni sheria tofauti na nchi kama Marekani ndio maana anateua Jaji mkuu na Katibu wa bunge.

Pascal anasisitiza kuwa Rais Magufuli ni mtu mwenye maamuzi sahihi yaani yeye ni master diplomat ndio maana Rais Trump wa USA sasa anaiga kutoka Tanzania ikiwemo kufungulia makanisa.

Kadhalika majirani zetu wamejifunza kutoka kwetu na sasa wamefungua mipaka tena kwa kufuata masharti yetu kwamba madereva wetu watapimwa hapa nchini.

Pascal anasema Ummy Mwalimu ni waziri wa kupigiwa mfano kwa sababu madaktari bingwa watano waliokuwa wasaidizi akiwemo Naibu waziri wa afya wametumbuliwa lakini yeye pekee ambaye siyo daktari kitaaluma ndio amebakia.

Pascal anasema waziri Ummy anafuata zaidi uhalisia kuliko matakwa ya kitaaluma ndio maana amekuwa akieleweka zaidi kwa Rais Magufuli.

Mjadala umemalizika, shukrani Dotto Bulendu kwa kazi nzuri ya kuongoza kipindi.

Kipindi kiko hewani, karibu.

Maendeleo hayana vyama!
Wanaogopa kile kilichompata Pasco baada tu ya kumuuliza Rais maswali kwenye ile press conferennce ya kwanza kabisa
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom