Pascal Mayalla tujuze utaratibu wa Maonyesho ya biashara ya Sabasaba mwaka huu ukoje!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,845
141,767
Mkuu Pascal kwa heshima na taadhima rejea kichwa au heading ya thread hapo juu.

Ukiwa kama mdau mkuu wa maonyesho ya biashara ya sabasaba ukiripoti kutokea viwanjani kilwa road kila mwaka, ningependa kujua mwaka huu utaratibu ukoje.

Nimejaribu kufuatilia katika media kadhaa lakini sijafanikiwa kupata taarifa zinazojitosheleza.

Ni hayo machache mkuu
Maendeleo hayana vyama!
 
Duh, Mkuu Yohana Mbatizaji, najua tuu huu ni uchokozi...lakini anyway

Mimi sio mtu wa Tantrade, bali hushiriki kuyatangaza maonyesho ya 77. Kwa maonyesho ya mwaka, tenda yangu ilifutwa at the eleventh hour.

Zamani walikuwa wanafanya procurement kwa kufanya direct shopping kupitia a single source, kuanzia mwaka jana, inatangazwa an open tender, watu wana compete, nikapigwa dafrao na kutupwa nje, huku taasisi za umma zikitangaza direct na TBC only.

Sijui kwa mwaka huu.

Kwa taarifa zaidi kuhusu mainyesho ya mwaka huu, tembelea
www.tantrade.or.tz
P
 
Tuliokua tunafanya maonesho ndo sehemu ya kwenda shopping ya yebo yebo na watoto mwaka huu tutakoma.... Humo ndani watabaki SUMA JKT,Magereza,Polis na NYUMBU tu nadhani
 
Back
Top Bottom