MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,734
Je, kwa hali hii ina maana Tasnia ya Habari nchini imekuwa Kimafanikio au imeshuka na sasa imeanza kupoteza Umuhimu nchini?
Binafsi kwa Hadhi ya Unguli wa Habari aliokuwa nao Pascal Mayalla nilitegemea leo hii angekuwa anamiliki Chombo chake kikubwa sana cha Habari nchini Tanzania na siyo kuwa Mtangazaji Mchangiaji wa Kawaida mno EA Radio.
Mtu mwingine nae aliyenishtua na kuhisi huenda katika Tasnia kuna Tatizo linalohitaji Mjadala mpana ni baada ya kuona Mtangazaji Nguli Abdallah Majura kuachana na Media yake Kubwa tu Mkoani Dodoma na sasa anahangaika tu na Madaladala yake ya Gerezani - Tegeta na Ubungo SIMU 2000 - Tegeta huku muda mwingi akishinda nayo Gereji Bubu za Bunju kuyatengeneza na Kugombana tu na Mafundi nae akiwa chini ya Uvungu na Spana zake mdomoni na mikononi
Naomba ieleweke kwamba sisemi kuwa Pascal Mayalla kuwa Mtangazaji ni Dhambi ila Kimantiki ukisikia Mchezaji Lionel Messi ameacha Kucheza Mpira na akakubali Kuajiriwa na Yanga SC ya Tanzania kuwa Kit Manager ni lazima tu utashangaa na hata Kushtushwa pia.
Yuko mubashara hivi sasa EA Radio akijinasibu kuwa atakuwa akihudhuria mara kwa mara kwa hicho Kipindi na kuahidi kuwa atakuwa pia ni Mwalimu kwa Waandishi wa Habari ( hasa Watangazaji wa Radio ) wasiojua Kutamka vyema maneno wakiwa Hewani.
Sasa anajiita Mwalimu na kaanza Kumkosoa Mtangazaji wa Kiume aliyekosea kutamka vyema neno Newcastle United na akamkosoa wa Kike aliyeshindwa kutamka vyema neno Kisimbuzi.
Anafanya Utangazaji wa Kiualimu hasa.