Pascal Mayalla kutoka kuwa Mwandishi Nguli hadi Mtangazaji wa kawaida East Africa Radio inamaanisha nini katika Tasnia?

Lionel Messi wa FC Barcelona ( La Pulga na Le Football Magician ) leo hii akiwa Kit Manager wa Yanga SC ya Tanzania Kwako Wewe ni sawa Ndugu?
Rivado alitoka huko akaenda kucheza Angola, mbona Charles katoka BBC sasa hivi yupo Azam anatangaza na kina Ivona? Kuna watu wana mahaba na fani zao ndugu! Ila aangalie asijechinganya akaitwa ' takataka' na kina Haji!
 
Traditional media zinakufa. Sababu ya technology..

Ili ziwe na thamani angalau ziwe basi na soko..
Watu wanaojua thamani ya real journalism..
Wako wapi hao watu??

Wengi tuna subscribe umbea na udaku online....

Ndio maana real journalists watazidi kupotea ..
Wataenda fanya shughuli zingine nyingi tu
Na Na kutokea ki? Daywoker kama hivyo..manake hakuna media za kuwapa mishahar ya kutosha
Mi mwenyewe mmojawapo, teknolojia imeharibu soko letu
 
Je, kwa hali hii ina maana Tasnia ya Habari nchini imekuwa Kimafanikio au imeshuka na sasa imeanza kupoteza Umuhimu nchini?

Binafsi kwa Hadhi ya Unguli wa Habari aliokuwa nao Pascal Mayalla nilitegemea leo hii angekuwa anamiliki Chombo chake kikubwa sana cha Habari nchini Tanzania na siyo kuwa Mtangazaji Mchangiaji wa Kawaida mno EA Radio.

Mtu mwingine nae aliyenishtua na kuhisi huenda katika Tasnia kuna Tatizo linalohitaji Mjadala mpana ni baada ya kuona Mtangazaji Nguli Abdallah Majura kuachana na Media yake Kubwa tu Mkoani Dodoma na sasa anahangaika tu na Madaladala yake ya Gerezani - Tegeta na Ubungo SIMU 2000 - Tegeta huku muda mwingi akishinda nayo Gereji Bubu za Bunju kuyatengeneza na Kugombana tu na Mafundi nae akiwa chini ya Uvungu na Spana zake mdomoni na mikononi

Naomba ieleweke kwamba sisemi kuwa Pascal Mayalla kuwa Mtangazaji ni Dhambi ila Kimantiki ukisikia Mchezaji Lionel Messi ameacha Kucheza Mpira na akakubali Kuajiriwa na Yanga SC ya Tanzania kuwa Kit Manager ni lazima tu utashangaa na hata Kushtushwa pia.

Yuko mubashara hivi sasa EA Radio akijinasibu kuwa atakuwa akihudhuria mara kwa mara kwa hicho Kipindi na kuahidi kuwa atakuwa pia ni Mwalimu kwa Waandishi wa Habari ( hasa Watangazaji wa Radio ) wasiojua Kutamka vyema maneno wakiwa Hewani.

Sasa anajiita Mwalimu na kaanza Kumkosoa Mtangazaji wa Kiume aliyekosea kutamka vyema neno Newcastle United na akamkosoa wa Kike aliyeshindwa kutamka vyema neno Kisimbuzi.

Anafanya Utangazaji wa Kiualimu hasa.
kwani yy mwenyew anasemaje?
 
Tunaowasema hapa huwa tunawaomba Pesa za Kula au Wao huwa wanakuwa wametuomba pia? Mpuuzi Mmoja Wewe hebu nitokee hapa....!!
Unazidi kuonyesha ni namna gani ulivyomweupe kichwani..ulianzisha uzi ukiwa na mawazo hasi na ulitarajia wachangiaji watakuunga mkono. Naona umeishia kutoa maneno ya kejeli kwa wote ambao hatukuungi mkono.
Nikuulize swali.. Hivi karibuni Dangote na Mo Dewji wameteuliwa kuwa washauri wa uchumi wa serikali ya Jamhuri ya Afrika ya Kusini...Je nao utajiri wao umeisha? La hasha.
 
Je, kwa hali hii ina maana Tasnia ya Habari nchini imekuwa Kimafanikio au imeshuka na sasa imeanza kupoteza Umuhimu nchini?

Binafsi kwa Hadhi ya Unguli wa Habari aliokuwa nao Pascal Mayalla nilitegemea leo hii angekuwa anamiliki Chombo chake kikubwa sana cha Habari nchini Tanzania na siyo kuwa Mtangazaji Mchangiaji wa Kawaida mno EA Radio.

Mtu mwingine nae aliyenishtua na kuhisi huenda katika Tasnia kuna Tatizo linalohitaji Mjadala mpana ni baada ya kuona Mtangazaji Nguli Abdallah Majura kuachana na Media yake Kubwa tu Mkoani Dodoma na sasa anahangaika tu na Madaladala yake ya Gerezani - Tegeta na Ubungo SIMU 2000 - Tegeta huku muda mwingi akishinda nayo Gereji Bubu za Bunju kuyatengeneza na Kugombana tu na Mafundi nae akiwa chini ya Uvungu na Spana zake mdomoni na mikononi

Naomba ieleweke kwamba sisemi kuwa Pascal Mayalla kuwa Mtangazaji ni Dhambi ila Kimantiki ukisikia Mchezaji Lionel Messi ameacha Kucheza Mpira na akakubali Kuajiriwa na Yanga SC ya Tanzania kuwa Kit Manager ni lazima tu utashangaa na hata Kushtushwa pia.

Yuko mubashara hivi sasa EA Radio akijinasibu kuwa atakuwa akihudhuria mara kwa mara kwa hicho Kipindi na kuahidi kuwa atakuwa pia ni Mwalimu kwa Waandishi wa Habari ( hasa Watangazaji wa Radio ) wasiojua Kutamka vyema maneno wakiwa Hewani.

Sasa anajiita Mwalimu na kaanza Kumkosoa Mtangazaji wa Kiume aliyekosea kutamka vyema neno Newcastle United na akamkosoa wa Kike aliyeshindwa kutamka vyema neno Kisimbuzi.

Anafanya Utangazaji wa Kiualimu hasa.
huyu jamaa toka aambiwa mayala ni njaa ameadhirika sana kisaikolojia.

pole sana Pascal Mayalla yatapita, kuna kupanda na kushuka, tupo pamoja.
 
Mayala yuko vizuri moja ya mambo siwezi kusahau alipomuuliza swali la uwajibaki JPM tena kwa kujiamini kwa hoja. Ni ule mfumo wetu wa Tanzania watu wanaouliza maswali ya magumu hawana nafasi, sasa kuwa na itikiadi fulani mimi sina tatizo nalo muhimu weledi ukiwa kazini. CNN huko wako watangazaji wengi tu mashoga lakini wakiwa katika TV na vipindi vyao tunasahahu ni watu wa aina gani sababu weledi wao na uwezo wao umezidi misimamo yao na tabia zao.
Mayala najuwa utasoma ila mimi sikujui wala hunijui personal na wala sio muhimu ila kwa ukweli kabisa na naongea hili kwa dhati mjitahidi media kwa ujumla Tanzania na waandishi wetu wajenge uwezo na kuongea au kuuliza mambo katika upeo wa juu sio mambo ya kureport tu unachosikia bila kuchambua taarifa kwa haki na weledi. Na wala hapa sisemi jambo zuri ni kupinga serikali tu hapana mazuri yasemwe lakini yaulizwe yanayoweza kuboresha zaidi sijui kiswahili fasaha constructive criticism. Hata wapinzani waulizwe maswali magumu maana sisi tunawasema CCM lakini pia wapinzani wanatabia zileile mtu akiwauliza basi kishakuwa adui. Mimi sina utaalamu wa habari lakini naamini haya yanawezeka na hii itachangia nchi kwenda pazuri. Media yoyote ichukue hoja upande na pia ichukue upande mwingine balance stories halafu watu watajuwa u ukweli ni upi kwa bahati mbaya news channel zote akiitwa mgeni basi unajuwa huyu wa upande huu, najuwa hili sio jambo la mtu mmoja lakini nyinyi na wengine wengi tu hili linawezekana bila kuwa na uadui wala msichukue side, kwenye hili wa Kenya wametuacha na tusiachwe zaidi ya hapa. Media zetu sio mtu anakurupuka tu anaita press watu wamejaa hakuna hoja yoyote kuna watu hawastahili kupata hata coverage lakini mambo ya msingi hawako. Sina solution ya moja kwa moja katika hili ila ningependa kuona free press bila uadui.
 
huyu jamaa toka aambiwa mayala ni njaa ameadhirika sana kisaikolojia.

pole sana Pascal Mayalla yatapita, kuna kupanda na kushuka, tupo pamoja.
Bora yeye alijaribu na ni mtu pekee katika awamu ya tano alimface JPM kuuliza swali gumu hakuna mtu yoyote aliyethubutu kumuuliza JPM uso kwa uso wala hakuna kiongozi yoyote aliyethubutu katika hili. kwa kuwa alijaribu nampa sifa zake leo JPM amezikwa lakini kuna watu mpaka leo wanamuogopa. Simtetei Mayalla lakini katika atabaki kuwa ni mtu pekee alimpiga swali JPM ambalo JPM alichukia wengine wanasema wakiwa wamejificha. Alijaribu lakini mfumo wetu mgumu wala nchi usije kujifanya shujaa utapotezwa wakati ule unajiunga nao tu. Mbowe mwenyekiti wa chama alitiwa ndani na wanachama wenyewe waliufyata sembuse Mayalla.
 
Back
Top Bottom