Pascal Mayalla alitabiri mwaka 2017 kuwa Samia atakuwa Rais wa JMT baada ya 2020

Zawadi Ngoda

JF-Expert Member
Aug 13, 2009
3,804
1,871
Pascal Mayalla aliandika "Ingekuwa ni amri yangu, ningemwambia tuu naniliu aamue 2020 asigombee his second term, na badala yake, ampishe ili awe huyu mama!.

Mungu ambariki sana Mama Samia na kuwabariki wanawake wote leo siku ya Wanawake Duniani." -
Paskali. Hii aliiandika hapa JF Mar 9, 2017.

Hivyo wanaosema Pascal Mayalla kabadilika baada ya Mh hayati Magufuli kufarika, hawakuutambua msimamo wa Pascal kuhusu Mama Samia hata wakati wa uhai wa Magufuli. Katika Thread hiyo yenye kichwa cha habari "Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth" Pascal kazianisha kwa kirefu sifa za Mama Samia zinazomfanya kuwa na uwezo wa kuwa Rais wa JMT. Binafsi nimezipitia tena mara 3 na kumpa Pascal 5.

Kuanzia sasa hivi sitapuuzia maandiko yako hapa JF, KWANI YANA WELEDI MKUBWA NA MAONO ya huko mbeleni.

Thread 'Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!' Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!
 
Pia ndio alieleta uzi humu mwaka 2014 unaozungumzia kuwa raisi wa awamu ya 5 mwaka 2015 anaweza kuwa Magufuli. Na kweli baada ya uchaguzi Magufuli ndio alikuja kuwa raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwahiyo ni kweli jamaa ana maono
 
Ni kweli paschal ni mjuzi, tatizo kuna kipindi aliacha kuwa objective akajikita kwenye ukada na ushabiki zaidi ili aonekane kwa akina fulani
Ndio, hapo alitereza kidogo, ni ubinadamu tu. Lakini alipotupwa kwenye kura za maoni akigombea ubunge, ndio akajua kuwa ni bora kubakia katika prof yake.

Na sasa tusubiri mengi toka kwake, kwa sababu karudi Relini.
 
Ni kweli paschal ni mjuzi, tatizo kuna kipindi aliacha kuwa objective akajikita kwenye ukada na ushabiki zaidi ili aonekane kwa akina fulani
nakumbuka enzi za mafuriko ya Lowassa kwenye kampeni alimlia sana Laigwan hela yani alikuwa anapokea mfulululizo bahasha za kaki. Huyu pasco na kale kabunge ka Geita msukuma kula sana pesa za Laigwan. Msukuma hadi alishuka na chpa kwa mbwembwe uwanjani sheikh abeid
 
Pascal Mayalla aliandika "Ingekuwa ni amri yangu, ningemwambia tuu naniliu aamue 2020 asigombee his second term, na badala yake, ampishe ili awe huyu mama!.

Mungu ambariki sana Mama Samia na kuwabariki wanawake wote leo siku ya Wanawake Duniani." -
Paskali. Hii aliiandika hapa JF Mar 9, 2017.

Hivyo wanaosema Pascal Mayalla kabadilika baada ya Mh hayati Magufuli kufarika, hawakuutambua msimamo wa Pascal kuhusu Mama Samia hata wakati wa uhai wa Magufuli. Katika Thread hiyo yenye kichwa cha habari "Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth" Pascal kazianisha kwa kirefu sifa za Mama Samia zinazomfanya kuwa na uwezo wa kuwa Rais wa JMT. Binafsi nimezipitia tena mara 3 na kumpa Pascal 5.

Kuanzia sasa hivi sitapuuzia maandiko yako hapa JF, KWANI YANA WELEDI MKUBWA NA MAONO ya huko mbeleni.
Tupia huo uzi alioutabiri huo mwaka! Ili tujilizishe kama ni kweli au ni swaga zako tuu za kutaka kumpigia chapuo kwa ssh.
 
Pascal Mayalla aliandika "Ingekuwa ni amri yangu, ningemwambia tuu naniliu aamue 2020 asigombee his second term, na badala yake, ampishe ili awe huyu mama!.

Mungu ambariki sana Mama Samia na kuwabariki wanawake wote leo siku ya Wanawake Duniani." -
Paskali. Hii aliiandika hapa JF Mar 9, 2017.

Hivyo wanaosema Pascal Mayalla kabadilika baada ya Mh hayati Magufuli kufarika, hawakuutambua msimamo wa Pascal kuhusu Mama Samia hata wakati wa uhai wa Magufuli. Katika Thread hiyo yenye kichwa cha habari "Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth" Pascal kazianisha kwa kirefu sifa za Mama Samia zinazomfanya kuwa na uwezo wa kuwa Rais wa JMT. Binafsi nimezipitia tena mara 3 na kumpa Pascal 5.

Kuanzia sasa hivi sitapuuzia maandiko yako hapa JF, KWANI YANA WELEDI MKUBWA NA MAONO ya huko mbeleni.
Acheni kujipendekeza.
 
NNI UTASHI WAKO KUAMINI KUWA KINYONGA RANGI YAKE NI HIYO UNAYOIONA NA HAIBADILIKI!!!
 
Back
Top Bottom