Pascal Mayalla alimtabiria Paul Makonda kuwa mgombea urais wa CCM 2025. Je, unabii wake utatimia?

Yaani Daud awe Rais wa nchi hii?? Kwa taarifa yako kama Rais wa nchi hii lazima atoke CCM basi atakuwa jamaa kutoka Zanzibar.
Halafu Mayala hakuwa mtu pekee kumtabiria Magu sema tu kwakuwa aliandika hapa basi mnaona kitu cha ajabu na kibaya zaid ameshindwa kujitabiria mwenyewe na jamaa yake Daud kuwa kura za maoni watapata fedheha.
 
Ukisikia 'utapia mlo wa akili' ndio huu! kuna alyetabiri atakuwa musiba na mwingine kasema atakuwa le mutuz
halafu mayala kwanini hukutabiri kuhusu uchaguzi 2020 na kura zitakuwaje?
 
Pascal Mayalla ni mwandishi wa habari nguli, mwanasheria na mchambuzi wa maswala ya siasa.

Wakati fulani siku za nyuma kupitia hapa JF alimtabiria Mkuu wa Mkoa mstaafu Paul Makonda kuwa Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM 2025.

Kwa sababu mgombea urais wa JMT kupitia CCM 2020 atakuwa kijana, Je utabiri wa Pascal Mayalla utatimia?

Ngoja tuone.

Maendeleo hayana vyama!
Labda kwakuwa ni msukuma
 
Uchaguzi umeisha tunawaza siasa, uchaguzi unakaribia siasa, uchaguzi unafika siasa.

NB: Siasa namaanisha siasa chafu.

Lini tutajadili kurusha rocket & satellite, kuunda vinu vya kurutubisha nuclear, kwenda mwezini na kuunda manowari?
Mwezini mbona dada zetu hawa wanaenda sana tu.
 
Pascal Mayalla ni mwandishi wa habari nguli, mwanasheria na mchambuzi wa maswala ya siasa.

Wakati fulani siku za nyuma kupitia hapa JF alimtabiria Mkuu wa Mkoa mstaafu Paul Makonda kuwa Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM 2025.

Kwa sababu mgombea urais wa JMT kupitia CCM 2020 atakuwa kijana, Je utabiri wa Pascal Mayalla utatimia?

Ngoja tuone.

Maendeleo hayana vyama!
Rekebisha andiko lako Mayalla hana unguli tena hakuna muandishi wa habari nguli anaetukuza dhambi za watawala ili mkono uende kinywani

Alikua nguli zamani enzi za KITI MOTO sasa hivi kwishnei njaa inamuuma anajipendekeza kwa mapambio huku anaskilizia huruma ya Jiwe kwenye teuzi kupitia mapambio yake
 
Yaani Daud awe Rais wa nchi hii?? Kwa taarifa yako kama Rais wa nchi hii lazima atoke CCM basi atakuwa jamaa kutoka Zanzibar.
Halafu Mayala hakuwa mtu pekee kumtabiria Magu sema tu kwakuwa aliandika hapa basi mnaona kitu cha ajabu na kibaya zaid ameshindwa kujitabiria mwenyewe na jamaa yake Daud kuwa kura za maoni watapata fedheha.
Mbona Kikwete aliweza?
 
Pascal Mayalla ni mwandishi wa habari nguli, mwanasheria na mchambuzi wa maswala ya siasa.

Wakati fulani siku za nyuma kupitia hapa JF alimtabiria Mkuu wa Mkoa mstaafu Paul Makonda kuwa Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM 2025.

Kwa sababu mgombea urais wa JMT kupitia CCM 2020 atakuwa kijana, Je utabiri wa Pascal Mayalla utatimia?

Ngoja tuone.

Maendeleo hayana vyama!
Hauto timia milele
 
Nafasi ya P, VP na PM huwa ni surprise
  • Wengi tulitazamia 2015 angekuwa Lowassa akaja Mwendazake
  • Nafasi ya PM alitajwa sana Lukuvi akaja Majaliwa
  • Nafasi ya VP baada ya Mwendazake alitajwa sana Nchimbi akaja Mr. Polite
 
Back
Top Bottom