Party Primaries ya ODM leo katika kaunti za Turkana, Busia na Mombasa

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Wakuu Habari ya Muda
.
Chama Kikuu cha Upinzani Kenya ODM leo wanaendesha party primaries katika County tatu Turkana, Mombasa na Busia.
.
Ni kwa lengo la kupata atakaepeperusha bendera za chama hicho katika nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi mkuu baadae September.
.
Kilichonivutia zaidi ni uchaguzi kuendeshwa kidigitali.
.
Unapiga kura unaiona kura na inahesabika immediately.
.
Yaani voter wa mwisho akifanya maamuzi yake basi mshindi anapatikana within 0.000 seconds .
.
Kwa Huku Tanzania Nadhani Chadema wawaige Odm Ili wasonge mbele kuonyeshe mfano kwa kuwa na mifumo hii kwenye chaguzi za chama kuanzia ngazi za wilaya-Taifa.
.
Pia watakua ni wa mfano sana wakitumia katika Party Primary zao.
.
Wasiishie kupiganania uhuru Wa Tume ya Uchaguzi ya Nchi Wakati wao Uhuru Huo Hauonekani ndani ya Chama Chao Kwenye Primary Stage to Secondary Stage.
.
Wakitumia Mfumo wa Odm Hii italeta Uwazi, Uhuru na hatimaye Credible elections Ndani ya Chama Chai
View attachment 2181555
 
Back
Top Bottom