Partner wa kufuga nae kuku

Hela ya ufungaji wa kuku haina tofauti na na hela ya madawa ya kulevya sema tu watu hawajashtukizia hii biashara! Faida yake ni kubwa sana
 
Nikweli kabisa mkuu inafaida sana ukiwafuga kibiashara sio ufuge kuku kuku to utoona faida yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom