Partner kwenye Pamba

CES

Member
May 12, 2021
32
24
Ninatafuta partner. Kulima naye Pamba kwa ajili ya kuuza. Tunawekeza pamoja baadae tunatafuta soko pamoja, lakini soko lipo.
Kama tutaendelea vizuri, tutaingiza mazao mengine.
Nitumie whatsapp yako
 
Sasa niko nje kujifunza kuhusu bei za drop irrigation. Partner ajue kuhusu kilimo na namna ya kutafuta soko
 
Back
Top Bottom