zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,918
jamani nisaidieni,
1) Vipi una quote part ya post?
2) Vipi una quote different parts za post hiyo hiyo moja?
3) Vipi una quote quoted quote?
4) vipi una quote parts za quoted quotes?
Duhhh, nadhani nimeeleweka, kama yes, naomba msaada wa kuelimishwa hayo.