ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,532
- 44,648
Partial knowledge namaanisha science, religion nakadhalika yaani elimu zote ambazo ndio zina ukweli lakini sio wa kiwango cha UHAKIKA.
Elimu ya dini zote duniani zina mapungufu fulani fulani kwa mfano katika Biblia kuna contradiction nyingi sana na hii ni kwa sababu zamani uwezo wa wazee wetu ulikuwa mdogo yaani kwa mfano zamani mshumaa ulikuwa na thamani sana lakini sasa hivi tunawasha taa za umeme na mshumaa unaonekana sio kitu cha maana sana.
Waandishi wa Biblia wamekosea history haiko sawa, umri umebadilishwa badilishwa. Science na yenyewe pia Ina mapungufu ila uzuri wa science ipo tayari kukosolewa na inaweza kubadilishwa kwa sababu technology inabadilika.
Tukija upande wa universal truth hapa hapana shaka habari zake ni za uhakika mfano kifo ni mwisho wa uhai. Mfano mwingine ukitaka mwili uwe strong unahitaji madini chuma yanayopatikana katika vyakula kama mchicha au ukitaka ulainike unakunywa maji.
Mfano mwingine ni yupo Mungu mwenyewe asiyehesabika yaani sio Mungu mmoja maana namba moja ina mwanzo na mwisho mfano kiatu kimoja kina mwanzo na mwisho ila Mungu sio mmoja isipokuwa kuna Mungu mwenyewe najua hapa ni ngumu sana kunielewa.