Partenity leave: Nini tunatakiwa tufanye kama wanaume?

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,845
11,209
Wakuu,

Nimeona leo nichangamshe jamvi kwa kuomba tujadili nini cha kufanya pale ambapo mwanaume unakua umepata mtoto... we usually get very excited when our loved ones are expecting and we get even more excited when when get a new baby.

Quickly we forget all the fears, trauma, blood, anxiety na hata jinsi our loved ones are over-exposed to the grave dangers of delivery na ni kwa jinsi gani wanakua karibu zaidi na kifo kuliko hata wakipa malaria, TB na UKIMWI (magonjwa yanaopwa mabilioni kila leo).

I have had a chance to be a farther more than once na kuwa kwenye process ya delivery na hata kukaa na mama na mtoto from day one baada ya kid kuzaliwa;

Binafsi nina manne au matano makubwa sana:

La kwanza ni jinsi ya kuwa karibu sana na mama hasa zile saa za kujifungua, in fact that is where our roles zinakua more than needed kutoa supoport na guidance kwa mama, ndugu jamaa na marafiki... sometimes hata hao caregivers wanaosaidia wapenzi wetu kuzaa

La pili ni namna ya kupokea mtoto, ni lazima tuwe tumejiandaa sana... lakini kubwa zaidi hapa ni ku-appreciate mama kuliko kubaki tunashangaa mtoto tu!! Mara nyingi sana sisi wanaume, tunapoona mtoto au kukabidhiwa mtoto, mara moja tunahamisha attention yote na kusahau mjumbe wa Mungu aliyebeba ujumbe huo... we can do better than that

La tatu, ni namna ya kujitolea kuongoza malezi ya mtoto, wengi wetu hupokea mama au mama mkwe kuja kulea, lakini kusema ukweli, ni sisi ndio wenye primamry role ya kumsaidia mama... sie ndio tuwajuao wenzetu na pia sie ndio wenje miji. Sometimes anaweza kuja mama au mama mkwe ambaye mara ya mwisho kuogesha au kukanda ilikua 20 years ago!!

Jingine kumweka mwenza kwenye security ya hali ya juu kimahitaji na pia kihisia na mapenzi... hata kama tunatoka au vipi ni vyema awe secure kwamba its all for a good course

La tano, ni kuwa wasafi wa hali ya juu, dedicated to help during night hours na kuwaandalia wenz mambo mazito ya maakuli... THEY LOVE IT

Yapo zaidi lakini kwa kuchangamsha mada na pia kuchangamsha.... nasema kwamba being a dad is beyond having a baby

you can Google a few links such as
BabyCenter | Homepage - Pregnancy, Baby, Toddler, Kids
www.fatherhoodinstitute.org
thefatherfactor.blogspot.com

na pia ni vyema kusoma kitabu kinaitwa what to expect when you are expecting

Its always good to be a dad, but its always the best to be the best dad
 
fab

wanasema fuata nitendayo na si nitendayo... ila mengi hapo juu kwakweli nimejitahidi sana... nakaribia kujaza timu ya basketi mazee!!
 
Hii paternity leave ni wakati mzuri wa kuwa site ukishughulikia ujenzi wa nyumba au kwenye shughuli za ujenzi wa familia.
 
fab

wanasema fuata nitendayo na si nitendayo... ila mengi hapo juu kwakweli nimejitahidi sana... nakaribia kujaza timu ya basketi mazee!!
haya bana.....!:bored::bored::bored:
 
Acid salama kamanda? Hii kitu nimeiprinti, ntampostia dogo Teamo aifanyie kazi. Copy ntampa Dasophy.

Siku nyingine ukiamka bila mahangover unaandika mashairi mazuri sana.

Good stuff pal!
 
Acid salama kamanda? Hii kitu nimeiprinti, ntampostia dogo Teamo aifanyie kazi. Copy ntampa Dasophy.

Siku nyingine ukiamka bila mahangover unaandika mashairi mazuri sana.

Good stuff pal!
hehehe!
haya bana n'kubwa

chumbani kwangu kumekuwa kama LOUNGE......wakina mama wote wanaenda kumuangalia mtoto chumbani wanakaa huko na kupiga store.hii itakuwa sababu nzuri pia wewe ukija na mama matesha yeye ataingia kumchek kidi sisi takuwa KAPONGO pale nafanya kile kinachostaili....!valuu na pepsi.wanaume haturuhusiwi kumuangalia mtoto kabla ya kufikisha 40 deiiz
 
Aksante kaka Acid........kwa kweli ujumbe wa ijumaa hii ni mzito duh...............yaani nilidhani ni jumatatu ati.

Ni kweli kabisa umeelezea vizuri hata mie binafsi mwanzoni sikuwa nauona umuhimu wa patenity leave nikajua ni utaratibu wa kigeni tumeuiga tu na sisi..........sikuwahi kuwaza nini hasa mwanaume/baba anatakiwa kufanya katika zile siku 3 apewazo baada ya mkewe kujifungua. Hapa leo nimepata shule. Ubarikiwe and have a happy furahi day
 
Congratulation Acid, inaelekea wewe ni good father and husband!
 
Asante mkuu
Wengine huwa tunakaa na kunywa mtori na mama (Mzazi)
Ukirudi kazini umenenepeana
 
Nani kakudanganya?
jirani

Kwa hili acha niringie mkuu... pale namanga ile migoti ya ngombe nilinunua hadi wakadhani nimezaa na nchina mazee...

we ngoja siku moja ntakuletea ushahidi

the finest is well aware maana wakati anasimamia misa pale st. joseph tulikua tunamtuma yale matunda ya uhindini
 
halahala teamo

kifua cha mtoto bado mazee

angalia bana hii milli yetu siku hizi ya kichina, dont congest your room with many people

ila kingine aisee, make sure mama anajiremba hata kama bado kachoka maana hili nalo ni la kuangalia sana, akina mama wakijifungua wanakua hata nywele zao hawazijali wala ile mikangha huiachia tu

set a beautiful and well ventilated nest for your new angel nephew

Acid
hehehe!
haya bana n'kubwa

chumbani kwangu kumekuwa kama LOUNGE......wakina mama wote wanaenda kumuangalia mtoto chumbani wanakaa huko na kupiga store.hii itakuwa sababu nzuri pia wewe ukija na mama matesha yeye ataingia kumchek kidi sisi takuwa KAPONGO pale nafanya kile kinachostaili....!valuu na pepsi.wanaume haturuhusiwi kumuangalia mtoto kabla ya kufikisha 40 deiiz
 
Aksante kaka Acid........kwa kweli ujumbe wa ijumaa hii ni mzito duh...............yaani nilidhani ni jumatatu ati.

Ni kweli kabisa umeelezea vizuri hata mie binafsi mwanzoni sikuwa nauona umuhimu wa patenity leave nikajua ni utaratibu wa kigeni tumeuiga tu na sisi..........sikuwahi kuwaza nini hasa mwanaume/baba anatakiwa kufanya katika zile siku 3 apewazo baada ya mkewe kujifungua. Hapa leo nimepata shule. Ubarikiwe and have a happy furahi day

Thanks dreamtoy

full pinky naona
 
wao! mkeo ana raha...:redfaces::teeth:

Aksante kaka Acid........kwa kweli ujumbe wa ijumaa hii ni mzito duh...............yaani nilidhani ni jumatatu ati.

Ni kweli kabisa umeelezea vizuri hata mie binafsi mwanzoni sikuwa nauona umuhimu wa patenity leave nikajua ni utaratibu wa kigeni tumeuiga tu na sisi..........sikuwahi kuwaza nini hasa mwanaume/baba anatakiwa kufanya katika zile siku 3 apewazo baada ya mkewe kujifungua. Hapa leo nimepata shule. Ubarikiwe and have a happy furahi day

Acid nimekosa la kusema
Umenifurahisha sana kwa hii post yako ur a darling

Congratulation Acid, inaelekea wewe ni good father and husband!

Nlijua tu, kina mama watavutiwa sasa na hii sredi......Acid ulipanga kupata attention na senksi za hawa viumbe?
 
hehehe!
haya bana n'kubwa

chumbani kwangu kumekuwa kama LOUNGE......wakina mama wote wanaenda kumuangalia mtoto chumbani wanakaa huko na kupiga store.hii itakuwa sababu nzuri pia wewe ukija na mama matesha yeye ataingia kumchek kidi sisi takuwa KAPONGO pale nafanya kile kinachostaili....!valuu na pepsi.wanaume haturuhusiwi kumuangalia mtoto kabla ya kufikisha 40 deiiz

Ewaaaa....kama kawaida: "carina inapoangalia ndipo safari inapoelekea" - Kimambo's first law of infidelity
 
Paternity leave inatolewa siku 3 tu sasa ndani ya siku hizo baba anaweza akamsaidiaje mama?

Binafsi naona akina baba nao tupiganie haki angalau tuwe na Paternity leave ya siku 30.
 
Back
Top Bottom