TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,873
- 11,253
Wakuu,
Nimeona leo nichangamshe jamvi kwa kuomba tujadili nini cha kufanya pale ambapo mwanaume unakua umepata mtoto... we usually get very excited when our loved ones are expecting and we get even more excited when when get a new baby.
Quickly we forget all the fears, trauma, blood, anxiety na hata jinsi our loved ones are over-exposed to the grave dangers of delivery na ni kwa jinsi gani wanakua karibu zaidi na kifo kuliko hata wakipa malaria, TB na UKIMWI (magonjwa yanaopwa mabilioni kila leo).
I have had a chance to be a farther more than once na kuwa kwenye process ya delivery na hata kukaa na mama na mtoto from day one baada ya kid kuzaliwa;
Binafsi nina manne au matano makubwa sana:
La kwanza ni jinsi ya kuwa karibu sana na mama hasa zile saa za kujifungua, in fact that is where our roles zinakua more than needed kutoa supoport na guidance kwa mama, ndugu jamaa na marafiki... sometimes hata hao caregivers wanaosaidia wapenzi wetu kuzaa
La pili ni namna ya kupokea mtoto, ni lazima tuwe tumejiandaa sana... lakini kubwa zaidi hapa ni ku-appreciate mama kuliko kubaki tunashangaa mtoto tu!! Mara nyingi sana sisi wanaume, tunapoona mtoto au kukabidhiwa mtoto, mara moja tunahamisha attention yote na kusahau mjumbe wa Mungu aliyebeba ujumbe huo... we can do better than that
La tatu, ni namna ya kujitolea kuongoza malezi ya mtoto, wengi wetu hupokea mama au mama mkwe kuja kulea, lakini kusema ukweli, ni sisi ndio wenye primamry role ya kumsaidia mama... sie ndio tuwajuao wenzetu na pia sie ndio wenje miji. Sometimes anaweza kuja mama au mama mkwe ambaye mara ya mwisho kuogesha au kukanda ilikua 20 years ago!!
Jingine kumweka mwenza kwenye security ya hali ya juu kimahitaji na pia kihisia na mapenzi... hata kama tunatoka au vipi ni vyema awe secure kwamba its all for a good course
La tano, ni kuwa wasafi wa hali ya juu, dedicated to help during night hours na kuwaandalia wenz mambo mazito ya maakuli... THEY LOVE IT
Yapo zaidi lakini kwa kuchangamsha mada na pia kuchangamsha.... nasema kwamba being a dad is beyond having a baby
you can Google a few links such as
BabyCenter | Homepage - Pregnancy, Baby, Toddler, Kids
www.fatherhoodinstitute.org
thefatherfactor.blogspot.com
na pia ni vyema kusoma kitabu kinaitwa what to expect when you are expecting
Its always good to be a dad, but its always the best to be the best dad