Part time jobs

Janice

Member
Aug 31, 2011
48
11
kwa yeyote mwenye info on hw i can get a part time or weekend job in dar,naomba anijulishe
I do need to earn extra cash!!!!
Zile zinazopatikana kwa net ni za uongo na msijaribu
 
Duh ehh bwana hamko wenyewe hapo hata mie,but mie naangalia za community pharmacy town.
 
Zipo nyingi, kufagia barabara, ujenzi wa nyumba, kuchimba mitaro ya mabomba ya maji, kuchoma mikaa, kuosha magari..ipi mnayotaka? :)
 
so far naona jobs that can be useful ni zile za data entry au za consultancy ambazo an employer can easily hire u on weekends!!but simjui mtu yeyote wa kunisaidia kupata, si rahisi mtu kukupa job as a part timer wakati watu wengi wanatafuta kazi
 
hakuna ya kuchora tatoo?
za kuchora tattoo hazipo..mimi sihitaji msaidizi..ninachora parmanet tats, colour tats, steaker tats and temporar tats..karibu ofisini.. Labda nitakupa kazi ya kuchanganya wino maana ninahitaji msaidizi. Vp wewe ikojua chemistry? :)
 
za kuchora tattoo hazipo..mimi sihitaji msaidizi..ninachora parmanet tats, colour tats, steaker tats and temporar tats..karibu ofisini.. Labda nitakupa kazi ya kuchanganya wino maana ninahitaji msaidizi. Vp unachua chemistry? :)

Nipo vizuri sana mkubwa,im a certified lab technician.
 
kwa yeyote mwenye info on hw i can get a part time or weekend job in dar,naomba anijulishe
I do need to earn extra cash!!!!
Zile zinazopatikana kwa net ni za uongo na msijaribu

Mkuu ukipata naomba unijulishe na mimi nina shida kama yako.

Duh ehh bwana hamko wenyewe hapo hata mie,but mie naangalia za community pharmacy town.

umetisha mkuu.....


mbona mmekaa kimya?? si mnataka part time na hamtaki kuspecify ni kazi gani?? ipo kazi ya kuuza sura.....nyambafu kuweni makinisio kupotezea watu muda....
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom