Part time job (Invoices,File VAT Return,SDL,PAYE,Estimate Corporate Tax e.tc)

Mapfa A

JF-Expert Member
Jan 9, 2015
250
251
Habari wakuu,

Mimi ni Graduate wa Shahada ya Uhasibu na Fedha, Nina uzoefu wa miaka miwili (2) najua kuandaa nyaraka za Kihasibu hususani (Invoices,File VAT Return,SDL,PAYE,Estimate Corporate Tax e.tc)
Kama una Organization yako ,biashara yako au Unabanwa na Kazi Naweza kusaidia shughuli hizo tajwa (KWA PART TIME)

Napatikana Dar es Salaam
Simu no; 0764 055904
Karibu!
 
Hilo neno Part Time linaleta tasfiri nyingi lengo nini hasa kumwibia mwajiri au?
 
Back
Top Bottom