Part-Time Consultants Na Mtaalamu Wa Kuandaa Tenders

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
Kama wewe ni Mtaalamu katika moja ya yafuatayo, tafadhali Ni-PM nitakupa email kisha nitumie CV yako kuhusiana na Consultancy Work ASAP:

1. Training of Internal Auditors On IPSAS and IFRS
2. Installation & Training of Information System Auditing Tools
3. Training on Risk Based Audit
4. Training on Contract Audit
5. Training To Auditing Team of Public Institutions
6. Preparation of Audit Committee Guidelines
7. Training of Risk Management of Audit team
8. Training & Dissemination of PPA 2011 and its regulations
9. Establishment of Average Prices of Commonly activities in Construction Works
10. Revising & Issue of Standard Bidding Documents and Other Implementation Tools
11. Carrying out Performance (Value for Money) and Procurement Auditing

Pia anahitajika Kijana mwenye utaalamu wa kuandika Tender/Bid Documents kwa ajili ya kuomba kazi za Consultancies. Uzoefu ni moja ya vigezo. Tafadhali nitumie CV na mategemeo yako ya Mshahara kuepuka kupoteza muda.
 
Kwa wale ambao wako interested mwisho wa kupokea maombi ni Saturday afternoon 30th November 2012.
 
Nimepokea CV Kadhaa. tafadhali unapotuma pia elezea ni maeneo gani kati ya yaliyotajwa unaweza kuyamudu.
 
Further update kutokana na maswali ninayoulizwa kwenye PM:

Kazi inafanyika Tanzania.

Consultants jamani hawana mshahara. Wanalipwa kwa ama kwa siku ama kwa saa kutegemea makubaliano.
 
oyo mi nipo poa kote koz nina cisa-certificate of information system audit na nina ideas ya ACL
email yangu ni
 
Attachments

  • salumcv.doc
    52 KB · Views: 202
Kwa wale ambao wako interested mwisho wa kupokea maombi ni Saturday afternoon 30th November 2012.

hizo red mbili hapo juu hazikai chungu kimoja. unamaanisha Surtaday ya tarehe 1st December 2012 au Friday ya tarehe 30th November 2012?
 
oyo mi nipo poa kote koz nina cisa-certificate of information system audit na nina ideas ya ACL
email yangu ni

Mkuu asante sana naona umetuma na CV. hongera pia kwa cerification ya CISA walizonazo wanahesabika.

Tutafanya kazi pamoja.
 
Join Date : 4th June 2009
Posts : 1

Duh! Mkuu ni kama ulikuwa kwenye coma ume join JF 2009 miaka 3 na nusu baadae unakuja kuuliza pm ni nini?

Du! Mkuu huwa unasoma kila kitu? Wewe ni shushushu au Detective?
 
hizo red mbili hapo juu hazikai chungu kimoja. unamaanisha Surtaday ya tarehe 1st December 2012 au Friday ya tarehe 30th November 2012?

Nimekusoma Mkuu, ilikosewa. Nilikuwa nina maana ya Saturday tarehe 1.

Ila unaweza tuma CV yako sasa hadi Jumapili tarehe 2 December 2012.
 
Kama wewe ni Mtaalamu katika moja ya yafuatayo, tafadhali Ni-PM nitakupa email kisha nitumie CV yako kuhusiana na Consultancy Work ASAP:

1. Training of Internal Auditors On IPSAS and IFRS
2. Installation & Training of Information System Auditing Tools
3. Training on Risk Based Audit
4. Training on Contract Audit
5. Training To Auditing Team of Public Institutions
6. Preparation of Audit Committee Guidelines
7. Training of Risk Management of Audit team
8. Training & Dissemination of PPA 2011 and its regulations
9. Establishment of Average Prices of Commonly activities in Construction Works
10. Revising & Issue of Standard Bidding Documents and Other Implementation Tools
11. Carrying out Performance (Value for Money) and Procurement Auditing

Pia anahitajika Kijana mwenye utaalamu wa kuandika Tender/Bid Documents kwa ajili ya kuomba kazi za Consultancies. Uzoefu ni moja ya vigezo. Tafadhali nitumie CV na mategemeo yako ya Mshahara kuepuka kupoteza muda.

Welcome to Facebook - Log In, Sign Up or Learn More
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom