Part of the TANZANIA SGR will be a 2.5 km overpass to avoid city traffic

mwanafyale

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
1,641
535
1542219517038.png

HII NDIYO HABARI YA MJINI.
 
Inavutia sana..kwahiyo terminal yake kuu itakua ya ghorofa ama VP..(Mimi sio injinia):cool::cool:
 
Vitu kama hivi vinawakera sana makamanda ...
Wao wanafurahia sana maneno ya kwenye kanga akina zito na lema pamoja na kutetea mashoga hizo wanazipenda sana huku wakitiana mioyo kwamba ni wakombozi
tapatalk_1539415641781.jpg
 
Likidondoka hilo sijui itakuaje ndugu zangu wa nyasichoke, mpanda na bogwe tunavyojua kujazana "tutakufwa" mbayaaaa
 
Back
Top Bottom