Part II: Bado safari yangu ya kusaka utajiri wa nguvu za giza inaendelea

Status
Not open for further replies.
Hata wanaoombewa nikisema ni shortcut nitakua nakosea, hata wanaoamini mungu nao pia ni shortcut..imani yako unayoiamini itabaki kua imani yako, hata ukiamini chupi inaweza kukupa unachohitaji Mimi nani wa kubeza, ndio mana katika swala LA chanjo ya uviko kuna wanaoamini ni SUMU, na kuna wanaoamini itawasaidia, wengine wanawsikiliza manabii wao makanisani, so its all about choices ..maingiliano yasiwepo..mipaka ya kiimani viheshimiwe.
SAwa kauze nafsi yako kwa lucifuge lofokale lucifer mbona utakuwa bilionea
 
Utajir wa kafara Ni nyota na bahati si Kila anae taka utajir huo hupata wengne huishia kuhangaika na kupigwa pesa na wataalamu wa tiba hizo.

Na hakuna Alie tajirika kwa Nguvu za giza bila maagano na maagano Ni mazito Sana

NB: Kuna kafara kuu mbili ,,kafara ya damu ya binadamu ,,,,, na kafara ya KULAWITI au KULAWITI ukitumia Kati hzo bas ile mipesa ming utaipata Sana lakin kumbuka mwanzo wa kafara Ni mwendelezo wa kafara mpaka kufa kwako
 
Punguza makasiriko, its all about choices. Hata wengine wanaamini gwajima anaweza kuwapa utajiri/ubilionea, au mwamposa anaweza kuwapa utajiri/ubilionea, wengine padre, mchungaji, kila mmoja ana njia yake, anachokipata huko ni siri yake na huyo aneyempa anachokitaka, kwaio kwa lugha nyepesi usikasirike unapokula ngogwe au bamia kama mboga na ukamuona jirani yako anakula kuku kama mboga ukaona nongwa.
Duuh kweli uko siriaz.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom