Thefreedom
JF-Expert Member
- Jan 27, 2019
- 319
- 313
- Thread starter
- #21
Nimetest windows defender ila nimejarbu na attribute nimescore 10/60 sasa kwa kawaida ni matokeo mazuri ila sijajua kwa upande wa virus total ila nimetest na avast, avira, eset haijawadetected ila unachotakiwa ni kuijua CMD vzr soon victim akiwa kwa lineDah nashukuru sana imekubali. Samahani ivi hii ukiacha antvirus hiii windows defender inaweza bypass hizi zingine kama avast n.k??
Shukrani sema nini kuna issue nataka unisaidie hata kukulipa nitakulipa ngoja nije privateNimetest windows defender ila nimejarbu na attribute nimescore 10/60 sasa kwa kawaida ni matokeo mazuri ila sijajua kwa upande wa virus total ila nimetest na avast, avira, eset haijawadetected ila unachotakiwa ni kuijua CMD vzr soon victim akiwa kwa line
Huuu uzi nilikuwa sijausoma wote haya mabishano yanatia raha sanaa ila conclusion ni kwamba wewe unajiiita sijui kali linux hoja zako za kipumbavu na dhati toka mshikaji kapost katika comment zako unaonekana dhati kabisa ulikuwa unampinga ili uonekane wewe ndo unajua kumbe na wewe ni ushuzi wa asubuhi tu Thefreedom umekosea kujibishana na watu kama hawa ungemvungia tu. Wewe kali linux leta na wewe codes zako tuone au njia yako tuone ubishane na kwa facts sio unamcrash mshikaji... The freedom anajua huo ndo ukwelii mkuuOf coz
, af mm sio beginner so issue za kutafuniwa unakosea unaponipoint mm sema huwa tu nacomment kwenye hizi lessons zako ili watu wajifunze zaidi kutokana na kile tunachodiscuss mm na ww.
Unajua mkuu Thefreedom unapoongelea issue za backdoors na malwares kuna vitu vingi saana very technical na ambavyo ni difficult kudeal navyo unless uwe vizuri sana kwenye algorithms na encryption na ndo maana hapa bongo wengi wanaishia kuwa script kiddies tu but wanajiita hackers... Kuna issues nyngi sana tungejadili hapa lkn this aint the place suitable for this coz hata nlipoangalia hizo codes zako hapo nkazifanyia analysis naona vitu vingi vinalack, lkn kwakua umeshasema kwamba haujaweka kila kitu, it's okay. Ungeweka kila kitu it would be nice coz tungeweza kufanya full analysis kwa hio algorithhm ulotumia hapo kuavoid detection
Kuna forum ipo in the DARKNET inaitwa 'torum' link yake ni hii torum6uvof666pzw.onion (plz kama wewe sio experienced user wa DARK WEB jipange kwanza ndo uingie coz DARK WEB is risky and dangerous)
Humu kuna very clever algorithms ambazo community ya hackers tofauti wanatengeneza na kuzianalyse, So unaweza kuingia humo ukalinganisha na hio yako amd even contribute if you have something new.
Forum yenyewe ndo hii
View attachment 1081917View attachment 1081919
View attachment 1081920View attachment 1081921
Mkuu Kali Linux kwanza shukran kwa michango yenu wewe pamoja na The freedom katika chochote challenges ni muhimu sana... So big up brothers.Of coz
, af mm sio beginner so issue za kutafuniwa unakosea unaponipoint mm sema huwa tu nacomment kwenye hizi lessons zako ili watu wajifunze zaidi kutokana na kile tunachodiscuss mm na ww.
Unajua mkuu Thefreedom unapoongelea issue za backdoors na malwares kuna vitu vingi saana very technical na ambavyo ni difficult kudeal navyo unless uwe vizuri sana kwenye algorithms na encryption na ndo maana hapa bongo wengi wanaishia kuwa script kiddies tu but wanajiita hackers... Kuna issues nyngi sana tungejadili hapa lkn this aint the place suitable for this coz hata nlipoangalia hizo codes zako hapo nkazifanyia analysis naona vitu vingi vinalack, lkn kwakua umeshasema kwamba haujaweka kila kitu, it's okay. Ungeweka kila kitu it would be nice coz tungeweza kufanya full analysis kwa hio algorithhm ulotumia hapo kuavoid detection
Kuna forum ipo in the DARKNET inaitwa 'torum' link yake ni hii torum6uvof666pzw.onion (plz kama wewe sio experienced user wa DARK WEB jipange kwanza ndo uingie coz DARK WEB is risky and dangerous)
Humu kuna very clever algorithms ambazo community ya hackers tofauti wanatengeneza na kuzianalyse, So unaweza kuingia humo ukalinganisha na hio yako amd even contribute if you have something new.
Forum yenyewe ndo hii
View attachment 1081917View attachment 1081919
View attachment 1081920View attachment 1081921
Hio link ukiifungulia kwenye browser ya kawaida itakuzingua kufunguka. So inabidi utumie TOR browser ndipo uweze kufungua links za dark web. Ila kuwa makini sana coz kule ni virahisi sana kujikuta unaibiwa data zako au unatumiwa malware.Mkuu Kali Linux kwanza shukran kwa michango yenu wewe pamoja na The freedom katika chochote challenges ni muhimu sana... So big up brothers.
Hapi kwenye hiyo link ya from Darkweb ungeshare zaidi ingekuwa powa sana.
Tor ina socket dynmv connection, kikubwa tu kutomaximize ur tor screen browserHio link ukiifungulia kwenye browser ya kawaida itakuzingua kufunguka. So inabidi utumie TOR browser ndipo uweze kufungua links za dark web. Ila kuwa makini sana coz kule ni virahisi sana kujikuta unaibiwa data zako au unatumiwa malware.
Nakushauri uwe unatumia parrot OS (Au linux distro yyt) coz zinakuja na TOR browser yenye configurations nzuri kiusalama na inakuwa haina uhitaji sana wa kutumia VPN(japo unashauriwa sana kutumia vpn)
Kwa android devices unaweza kudownload TOR browser fro playstore na ukaifungua hio link.
Watufungulie na sisi darasa letuNa sisi wataalamu wa viriology if HIV tuna coment wapi?
Kikubwa hapo sio kuoneshana nani anajua mkuu. Kwa nchi yetu kupata watu wanaotufundisha haya mambo sisi ambao tulikuwa hatujui hata computer hawa ni wakuheshimu sana. Kikubwa kilikuwa ni kila mmoja au anayempinga mwenzie aje na hoja yake alternative ili sisi bigner tufaidike... Wote sisi ni damu moja , kuna bro wangu aliniambia kitu siku moja kwamba a real hacker kwanza hata kama akidharauliwa haongeagi saana na wala hakuambiii anashusha lini data zako, kwahiyo ni bora waelwane kama wanaume wazidi kutupa madini.Kwahiyo challenge imetolewa,mleta uzi umegoma ku accept kisa website haijaisha..
Ah ah ah hivi hackers wa kizazi hiki ndo mlivyo..
Btw kali-forum nmeielewa sana..kudos
Hapa umeongea point, na ndo maana nmereply.Kikubwa hapo sio kuoneshana nani anajua mkuu. Kwa nchi yetu kupata watu wanaotufundisha haya mambo sisi ambao tulikuwa hatujui hata computer hawa ni wakuheshimu sana. Kikubwa kilikuwa ni kila mmoja au anayempinga mwenzie aje na hoja yake alternative ili sisi bigner tufaidike... Wote sisi ni damu moja , kuna bro wangu aliniambia kitu siku moja kwamba a real hacker kwanza hata kama akidharauliwa haongeagi saana na wala hakuambiii anashusha lini data zako, kwahiyo ni bora waelwane kama wanaume wazidi kutupa madini.
Kipendeza wafungue group kuliko humu....
Haina noma mkuuHapa umeongea point, na ndo maana nmereply.
Sasa kipindi unanitukana kwenye comment yako iliopita ulikuwa unamaanisha nn?? Ndo maana nlikupa like tu nkatembea coz nliona haujitambui. Coz ww MRnyotta hata hunijui
Kila hacker ana personality yake, kuna wengine wanapenda kuongea na wengine ni wakimya. Ukitaka uthibitisho unaweza kuingia kwenye forums zzt za hackers thn utajionea hilo. Hio kukaa kimya unasema coz wengi wanaona kwenye movies tu lkn hawajui real life hackers wakoje. Mbona Snowden ni hacker mzuri tu lkn ni mwongeaji pia.
Afterall I got your point.
Na kama Thefreedom yuko tayari ni bora tufute zile comments za mabishano yasiyo na tija Ili tusipoteze lengo la uzi coz tulichokuwa tunabishana ni off topic. Mm nafuta zangu let the tutorial go on.
OkayHapa umeongea point, na ndo maana nmereply.

Nimekuelewa ila binafs napenda challengesKikubwa hapo sio kuoneshana nani anajua mkuu. Kwa nchi yetu kupata watu wanaotufundisha haya mambo sisi ambao tulikuwa hatujui hata computer hawa ni wakuheshimu sana. Kikubwa kilikuwa ni kila mmoja au anayempinga mwenzie aje na hoja yake alternative ili sisi bigner tufaidike... Wote sisi ni damu moja , kuna bro wangu aliniambia kitu siku moja kwamba a real hacker kwanza hata kama akidharauliwa haongeagi saana na wala hakuambiii anashusha lini data zako, kwahiyo ni bora waelwane kama wanaume wazidi kutupa madini.
Kipendeza wafungue group kuliko humu....
Haahahaha! Idubue tuu!Uliovokuwa mpuuuzi INA DENIAL OF SERVICE BINDED
Asante kwa kujali mkuu Kali Linux ila usijali saana mm ni mzoefu na mtumiaji mzuri wa DARKWEB...na kuhusu Linux distro natumia Backbox iko POWa sana nmetumia hizo parrot,Kali mpaka blackarch lakin bado nimestick kwa Backbox.Hio link ukiifungulia kwenye browser ya kawaida itakuzingua kufunguka. So inabidi utumie TOR browser ndipo uweze kufungua links za dark web. Ila kuwa makini sana coz kule ni virahisi sana kujikuta unaibiwa data zako au unatumiwa malware.
Nakushauri uwe unatumia parrot OS (Au linux distro yyt) coz zinakuja na TOR browser yenye configurations nzuri kiusalama na inakuwa haina uhitaji sana wa kutumia VPN(japo unashauriwa sana kutumia vpn)
Kwa android devices unaweza kudownload TOR browser fro playstore na ukaifungua hio link.
Nazani unaelewa bro changamoto iliyopo ktk kutumia Darkweb.. kupata links za hizi forums ni changamoto kiasi..ndomana nikakuomba ushare zaidi kama utakuwa tayari kushare hizi links.Hio link ukiifungulia kwenye browser ya kawaida itakuzingua kufunguka. So inabidi utumie TOR browser ndipo uweze kufungua links za dark web. Ila kuwa makini sana coz kule ni virahisi sana kujikuta unaibiwa data zako au unatumiwa malware.
Nakushauri uwe unatumia parrot OS (Au linux distro yyt) coz zinakuja na TOR browser yenye configurations nzuri kiusalama na inakuwa haina uhitaji sana wa kutumia VPN(japo unashauriwa sana kutumia vpn)
Kwa android devices unaweza kudownload TOR browser fro playstore na ukaifungua hio link.
Thefreedom kuna comments umeacha ndomaana bado watu wanaku quote.Haahahaha! Idubue tuu!
The freedom mm nazan jamaa yupo sahihi isipokuwa tu kosa alilofanya hajatumia njia nzuri ya uwasilishaji kwenye hoja zake
Yap kuna thread nilianzisha nkaweka links ambazo ziko updated na zinafanya kazi, lkn sijui MODS wa JF waliupeleka wapi aisee. Ngoja nizifatilie tena(Huwa zinabadilika sana) then ntazipost hapa coz nkifungulia uzi Mods wataupoteza tena kama walivyofanya last timeNazani unaelewa bro changamoto iliyopo ktk kutumia Darkweb.. kupata links za hizi forums ni changamoto kiasi..ndomana nikakuomba ushare zaidi kama utakuwa tayari kushare hizi links.