Mzalendo80
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 2,509
- 1,340
Miaka mingine 5 ya wizi wa JK na genge lake unaendelea (Part 2) ya JK. Jitaarisheni watanzania kwa wakati mgumu unaoletwa na JK na genge lake la kimafionso, co-starring Chenge, Lowassa na wengineo wakituletea ugumu wa maisha. Kumpa Fisadi Chenge uspika ni sawa na kumpa Lowassa funguo za Bank. Mungu tuepushe katika hili baala la ufisadi unaongozwa na Kikwete.
eep: