My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,932
- 13,283
Kuna watu wanadhani kuondoka kwa mzee wangu wa Kanisa,TISS ndugu Kipilimba basi mambo yanaenda kubadilika na kuifanya idara hiyo ifanye kazi nzuri la hasha.
TISS bado ina safari ndefu mno ili iwe idara bora Kama zingine, recruitment ya TISS imejaa viroja na maajabu, tofauti na mashirika mengi ya kijasusi Duniani.
TISS imejaa kina "kamlete ",yaani watu wanaopewa ajira na ndugu zao kwa sababu ya ugumu wa maisha ya Bongo, hakuna usahili wa uhakika, madhara yake kumejaa ma agent ambao wakiona post Kama hii wanatamani wamkamate mtoa mada na kumpoteza.
Haina watu wazalendo kwa Taifa lao bali wazalendo wa chama tawala cha CCM chenye ndoto za kutawala Tanzania milele.
TISS haiwezi kumwajiri mwanachama wa CHADEMA au mpinzani yoyote bali Lazima awe mfia CCM na siyo mfia Tanzania.
Kazi kubwa za idara za kijasusi ni kuhakikisha nchi iko salama wakati wote na kuhakikisha hakuna umaskini ktk nchi kwa gharama yoyote ile.
Hongera zenu CIA, MI6, MOSSAD nyie ndo mnaipeleka Dunia puta kwa maslahi ya mataifa yenu, hamna muda na siasa.
Kazi ya idara ya usalama wa taifa ni kuwa loyal kwa nchi na si kwa wanasiasa...
INAENDELEA

Part 2: TISS bado safari ngumu
Idara ya usalama wa taifa, ndo idara nyeti, nzito na muhimu kuliko idara zote za serikali. Kwa hiyo panatakiwa pawe na wafanyakazi ma genius hasa ktk idara hiyo, na wasiwe na mapenzi ya chama chochote cha siasa, bali wawe na mapenzi na nchi yao tu. Wawe wabunifu kwa ajili ya usalama wa taifa...
www.jamiiforums.com
Part 3: TISS bado safari ngumu
Ukitaka kufanikiwa kimaisha, jifunze kwa watu waliofanikiwa, jenga urafiki na watu wenye mafanikio, jipendekeze kwao, jifanye mjinga siku ipite, kumbe lengo lako kuna kitu unachokitafuta. Usijifanye mjuaji, kubali kukosolewa, pokea mawazo ya watu mbalimbali kisha uyachuje na kuchukua yale...
www.jamiiforums.com
Part 4: TISS bado safari ngumu
Asante sana mkuu Kihava ktk comment yako post #87, umenikumbusha mbali sana. Kabla sijaendelea nainukuu post yako Kama ilivyo kwa faida ya wengine ili wajue nini maana ya usalama wa taifa na una umuhimu gani kwa nchi. "TISS ndio nchi yenyewe kama hujui. Hata ungekuwa na elimu kiasi gani huwezi...
www.jamiiforums.com
Part 5: TISS Bado safari ngumu
Tunapozungumzia usalama wa taifa, maana yake ni kwamba tunazumgumzia roho ya nchi. Ukiona taifa lolote lina watu maskini, wajinga, wasiojitambua, ujue kwamba hata intelligence ya nchi pia haijitambui na iko dhaifu kupindukia. Ukitaka kufanikiwa kimaisha, waige waliofanikiwa, usiige maskini...
www.jamiiforums.com
Part 6: TISS Bado safari ngumu
Hatimaye yametimia, Part -1 ya mada hii nilizungumzia jinsi idara hii ya Usalama ilivyojaza vijana wengi wa UVCCM wasio na weledi wowote na masuala ya Intelligence, bali wako hapo kuhakikisha eti CCM inatawala milele na siyo Tanzania inasonga mbele. Kwanza kabisa nataka ifahamike kuwa ,TISS ni...
www.jamiiforums.com
Part-7: TISS Bado safari ngumu
Mada hii imejikita ktk kushauri kizalendo nini kifanyike ili kuliokoa taifa lisizidi kutopea kwenye umasikini wa kutupwa unaolikabili taifa kwa sasa. Idara ya usalama ina wataalamu wa nyanja zote wenye uwezo mkubwa kiakili pia, baadhi yao ni ma genius. Idara hii iache kutumika kisiasa, bali...
www.jamiiforums.com