janja pwani
Senior Member
- Jul 27, 2011
- 104
- 9
waumini wa kanisa Katoliki wa Parokia ya kapalapala wilayani Chunya wametakiwa kumtambua Rais Jakaya Kikwete kuwa mwakilishi wa Mungu. Paroko wa Parokia ya Mlowo wilaya ya Mbozi. Padre Valelius Mandanje alitoa kauli hiyo Jumapili katika ibada Maalum ya Jubilii ya Paroko wa Parokia ya Vwawa wilayani Mbozi, Ezebius Kawana ya kutimiza miaka ya 25 ya Upadri. habari jambo leo.