Paroko; Rais Kikwete ni mwakilishi wa Mungu.

janja pwani

Senior Member
Jul 27, 2011
104
9
waumini wa kanisa Katoliki wa Parokia ya kapalapala wilayani Chunya wametakiwa kumtambua Rais Jakaya Kikwete kuwa mwakilishi wa Mungu. Paroko wa Parokia ya Mlowo wilaya ya Mbozi. Padre Valelius Mandanje alitoa kauli hiyo Jumapili katika ibada Maalum ya Jubilii ya Paroko wa Parokia ya Vwawa wilayani Mbozi, Ezebius Kawana ya kutimiza miaka ya 25 ya Upadri. habari jambo leo.
 
Amekosea aliimanisha mwakilishi wa maluhani na mashetani akilindwa kwa karibu kabisa na nguvu za marehemu shekhe Yahya
 
waumini wa kanisa Katoliki wa Parokia ya kapalapala wilayani Chunya wametakiwa kumtambua Rais Jakaya Kikwete kuwa mwakilishi wa Mungu. Paroko wa Parokia ya Mlowo wilaya ya Mbozi. Padre Valelius Mandanje alitoa kauli hiyo Jumapili katika ibada Maalum ya Jubilii ya Paroko wa Parokia ya Vwawa wilayani Mbozi, Ezebius Kawana ya kutimiza miaka ya 25 ya Upadri. habari jambo leo.

Dini na siasa haviendani,anawapumbaza watu sbb ya imani kwenye mambo yanayowagusa watu wote!!!!
 
waumini wa kanisa Katoliki wa Parokia ya kapalapala wilayani Chunya wametakiwa kumtambua Rais Jakaya Kikwete kuwa mwakilishi wa Mungu. Paroko wa Parokia ya Mlowo wilaya ya Mbozi. Padre Valelius Mandanje alitoa kauli hiyo Jumapili katika ibada Maalum ya Jubilii ya Paroko wa Parokia ya Vwawa wilayani Mbozi, Ezebius Kawana ya kutimiza miaka ya 25 ya Upadri. habari jambo leo.

Sio rahisi huyo kiongozi wa kanisa kutoa kauli kama hiyo, lazima utakuwa umekosea au ndo unataka kuanzisha mjadala wa ajabu ajabu hapa. Kama Pengo mwenyewe hataki hata kuiona sura ya ****** coz of ukiazi wake, haiwezekani aliye chini yake aongee huo utumbo. Hayo magazeti yanatafuta namna ya kuliingiza kanisa ndani ya ccm, nakwambia hawataweza kamwe. Kanisa lina watu wanaofikiri kwa kutumia kichwa sio kama bakw.....a. wanaotumia masaburi ktk kuwaza na kufanya maamuzi
 
MUNGU yupi anawakilishwa na kiongozi fisadi? Hao ni walewale wanaojikomba kwa viongozi wetu bila kujali umuhimu/ mchango wa kiongozi huyo kwa jamii yetu
 
Isije kua huyu paroko ni mmoja wa wale mapadri wanao shukiwa ni wauza Unga kama JK alivyonena!
 
Sishangai wakimtukuza:
Maana yeye ana historia ya kupendwa na dini flani kwa kuwa wanasikilizwa matakwa yao na anawachukia dini flani kwa kuwakatalia live kavukavu matakwa yao.

My take:
Ingekuwa ni mtenda haki angewapenda watu wa makundi yote.

Ila naomba Mungu yasijetoke kama ya kuleeee.....
 
Kasahau hata teolojia yake, ni wa kumuonea huruma kwa kupotosha, sidhani kama Mungu anawakilishwa na kiumbe chochote.
 
Back
Top Bottom