Paris Saint Germain Yakata rufaa Game na Barcelona kurudiwa

Uzuri wa FIFA ni kwamba, mechi ikichezwa huwa hairudiwi kizembe. Ni Game nyingi mno refa huwa anaweza akaleta maamuzi mabovu na bado mechi hazirudiwi.

Nani anamkumbuka Web na Man U? Game ngapi zilirudiwa kisa Web kaibeba Man U?

PSG wanatafuta namna ya kutuliza mashabiki wao tu, Game wenyewe waliiharibu. Sababu .....

1. Waliona ushindi wa bao 4 - 0 ni mkubwa sana hivyo wakajiamini kupita kiasi,ukiangalia kipindi cha kwanza alimruhusu sana Barca acheze mpira, na akafungwa goal 2 kipindi cha kwanza. Kipindi cha pili mwanzoni alipofunguka akapta bao, akajiaminisha ya kwamba amepita. Akaamua apark tena bus.

2. Penalty zote ni halali, Ile ya Neymar yule mchezaji alitumia akili kubwa sana kumuangusha Neymar na inahitaji refa mzuri kumng'anua dhamira ya yule mchezaji. Neymar alikuwa ameshampita tayari, yule mchezaji akaamua kujiangusha sehemu ambayo anajua ni lazima atamkuta Neymar. Na refa alipotazama kuanguka kwa yule mchezaji akajua tu kuwa huyu hajajikwaa bali amejiangusha kwa style ile. Hauwezi ukajikwaa halafu ukaenda kwa style ile (waliocheza mpira watathibitisha hili).

3. Neymar alikuwa on form, bahati mbaya waliyokuwa nayo PSG siku ile ni Neymar kuwa ktk kiwango cha hali ya juu. Ile beki namba 2 ya PsG Neymar alikuwa anaigeuza anavyotaka yeye, yaani kama LISSU anavyowageuza Mawakili wa Serikali anavyotaka.

Ile ya Mascherano kama ni Penaltt, Je tusemeje Free Kick ya Messi ambayo wachezaji wa PSG waliinua mikono kabisa na mpira kwenda kuwagonga mikononi?

Tazama Video vyema utaona Suarez aligongwa mapajani ili kumpunguza kasi asikutane na kipa kwenye kuwania mpira, kumbuka ata Goli la kwanza ni Suarez ndo aligombania mpira na kipa na Suarez akafunga.

PSG wanatafuta sababu zisizo na maana kwa mashabiki wao na wanajua kabisa mechi ikichezwa na matokeo yakapangwa MECHI HAIWEZI RUDIWA la Sivyo tungeona El Classico nyingo mno zikirudiwa.

Shabiki wa Barcelona akitoa maoni
 
Pumba tupu, kwa hiyo kwa kuwa chelsea hawakukata rufaa wakati wanaonewa ndio inahalalisha maamuzi mabovu ya refaa?? Sometimes inahitaji ujitoe akiri ili utetee ujinga
 
Uefa sio sawa na TFF yenu ya bongo... Kimsingi hiyo taarifa umeongeza chumvi tu. Wao wameainisha makosa manane ya mwamuzi wakilenga kuainisha sababu za kufungwa kwao. Lkn kamwe sio kutaka mechi irudiwe. Ukiendekeza ujinga kama huo kwenye soka, haitatokea mtu afungwe na kukubali matokeo. Hivi barca walilalamika baada ya kufungwa 4-0?
Mleta mada punguza mahaba yasiyo na tija.
 
Mechi ikerudiwa PSG anakula kumi, japo najua haiwezi kurudiwa kamwe.
Mashabiki wa PSG ni sawa na wa Simba tu...wakefungwa na Yanga lawama ni kwa refa tu,kwahili wamefanikiwa sana kuwaaminisha FANS wao hivyo na kusahau kujadili dosari za kiufundi za timu pamoja na benchi la ufundi. Poor PSG mnapaki basi,Liverpool pekee ndo anamgonga Barcelona pale nyumbani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom