Paris Saint-Germain Special Thread

cotyledon

JF-Expert Member
Aug 25, 2018
1,112
2,000
Vijana wanamuangusha, ubinafsi umetamalaki.

Vijana walikuwa wanambania sana The Goat...muda wote wanacheza upande wa mbappe halafu wanapoteza.....huku Messi hawampi mipira, hilo goli lenyewe alitoa pasi akaomba arudishiwe ndio akaenda kuscore....They were sure to score more than four goals endapo wasingembania Messi kumpa passes....kama wataendelea na uselfish wao hawafiki kokote....kocha kama kocha ajipange upya, awakalishe vijana wake waache uselfish/choyo kwa Messi, Messi ndie Psg yenyewe, Messi ndie Pocchetino....i wish de maria na lcardi wawe wanaanza atleast hawatambania pasi mwenzao
Ubinafsi umetamalaki sana Hasa safu ya ushambuliaji
 
Ferruccio Lamborghini

JF-Expert Member
Apr 15, 2020
1,369
2,000
😀

244443624_3251881248369250_6671948897982808889_n.jpg
 
Otterhound

JF-Expert Member
Sep 10, 2016
2,948
2,000
PSG 2 1 lile

Maquinho 1, De maria kaongeza cha pili

De Maria man of the match, mshkaji amepambana sana.
 
BuenosAires

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
1,115
2,000
Mbape na wenzie wanaicost sana timu, ana kaubinafsi flani kwa messi, na sio yeye tu, wengine pia wamegeuka kuwa midfielder na siyo wakabaji wa kutoa pasi kwa messi. Psg haifiki kokote kwa style hiyo.

Mbappe analazimisha chenga wakati kuna messi pembeni yake, messi alikuwa na nafasi kubwa ya kufunga jamaa akalazimisha yeye ascore akapaisha juu 😂

Psg ni timu ya ajabu sana, kila mtu pale analazimisha kuwa midfielder 😂 messi anajikuta anasubiri pasi haoni mpira. Kweli mti wenye matunda hupigwa mawe.. ni heri angetimkia city, city wanaushirikiano sana na angewasaidia sana UEFA.
 
Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
7,347
2,000
Mbape na wenzie wanaicost sana timu, ana kaubinafsi flani kwa messi, na sio yeye tu, wengine pia wamegeuka kuwa midfielder na siyo wakabaji wa kutoa pasi kwa messi. Psg haifiki kokote kwa style hiyo.

Mbappe analazimisha chenga wakati kuna messi pembeni yake, messi alikuwa na nafasi kubwa ya kufunga jamaa akalazimisha yeye ascore akapaisha juu

Psg ni timu ya ajabu sana, kila mtu pale analazimisha kuwa midfielder messi anajikuta anasubiri pasi haoni mpira. Kweli mti wenye matunda hupigwa mawe.. ni heri angetimkia city, city wanaushirikiano sana na angewasaidia sana UEFA.
Psg ni underdog kwa city siku zote .....

Note ; Psg hajapiga corner hata moja kuanzia 1min - 90+3 min
 
BuenosAires

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
1,115
2,000
Usimlaumu mess , Neymar Wala mbappe ...

Mlaumu pep guardiola kwa mbinu za mauaji

Timu haina muunganiko mkuu. Wanachomfanyia messi siyo kabisa, hawajui kuwa wanaicost timu kwa ujumla!! Kila mtu anataka aonekane star, kila mtu analazimisha awe midfielder, kitu ambacho hakiwezekani. Nimetazama dakika zote 90 wanapeana pasi wao kwa wao messi wanampita kama hawamuoni ila chache tu zinamfikia.

Ubinafc utawaponza, ni heri watolewe. Nibaki na Barcelona na city.
 
Platnam

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
550
1,000
Mbape na wenzie wanaicost sana timu, ana kaubinafsi flani kwa messi, na sio yeye tu, wengine pia wamegeuka kuwa midfielder na siyo wakabaji wa kutoa pasi kwa messi. Psg haifiki kokote kwa style hiyo.

Mbappe analazimisha chenga wakati kuna messi pembeni yake, messi alikuwa na nafasi kubwa ya kufunga jamaa akalazimisha yeye ascore akapaisha juu

Psg ni timu ya ajabu sana, kila mtu pale analazimisha kuwa midfielder messi anajikuta anasubiri pasi haoni mpira. Kweli mti wenye matunda hupigwa mawe.. ni heri angetimkia city, city wanaushirikiano sana na angewasaidia sana UEFA.
Hii kitu ndio iliyo wagharimu Baca. Kila kitu Mess Mess. Kwahiyo kila atakaepata mpira anatakiwa aanze kuzurura uwanjani kutafuta Mess alipo?
 
Dimi

JF-Expert Member
May 25, 2018
1,229
2,000
Timu haina muunganiko mkuu. Wanachomfanyia messi siyo kabisa, hawajui kuwa wanaicost timu kwa ujumla!! Kila mtu anataka aonekane star, kila mtu analazimisha awe midfielder, kitu ambacho hakiwezekani. Nimetazama dakika zote 90 wanapeana pasi wao kwa wao messi wanampita kama hawamuoni ila chache tu zinamfikia.

Ubinafc utawaponza, ni heri watolewe. Nibaki na Barcelona na city.
Aisee unampenda Messi hadi unatia huruma
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom