Parastatal CEO Search in Tanzania

Katikomile

JF-Expert Member
Jul 12, 2007
471
74
Wadau, Heshima mbele!

Naomba kujuzwa,

Utaratibu wa kumpata CEO wa shirika la umma/taasisi ya serikali/govt agency ukoje haswa hapa Tanganyika?

Tumekuwa tukiona mara post inatangazwa, then watu wanafanyiwa interview, the best three wanapelekwa kwa Rais anachagua kipenzi chake!

Mara utasikia ile recruitment agency kama ni REDMA, Delloite n' Touche ama Ernst & Young imeingiliwa kimaamuzi na mkulu wa Kaya, kwa ku-dictate some names to appear!

Sometimes utasikia, DG kashatangazwa hata interview huioni wala kuisikia.

Babu yetu pale wa Ikulu kutoka pande za Iringa/Njombe/Makete, amekuwa aki-influence CEO wengi wawe home boys like LAPF (Hadi ile hoteli ya LAPF Millennium Towers alipewa Home boy), NHC (now).......... nisaidie majina mengine jamani.....

This is a confusing factor to me! Bila shaka ka-INZI ka Mwanakijiji kanaweza lifanyia kazi hili.
 
You can imagine, kama kuna kuingiliwa na wakuu kwenye kuajiri tu hao maofisa, je kwenye Tender zenye ulaji ndio inakuwaje?
 
Hili ndio tatizo tulilo nalo la kuwa na raisi asiyeogopwa na yeyote na ambaye hana nia ya kumwajibisha mtu yeyote. Kila kiongozi hivi sasa anafanya kazi kwa maslahi yake binafsi.
 
Back
Top Bottom