Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,168
- 10,793
Napenda kusema kweli daima, fitina kwangu ni mwiko!
Uchaguzi umeisha na yaliyotokea yametokea!
Nchi hii siyo ya CCM, wala Chadema wala CUF, WAKITOKEA WAPINZANI WAKALIJUA HILO BASI HAPO NDIO UKOMBOZI!
Serikali ya umoja wa kitaifa yenye kujumuisha vyama vyote kulingana na idadi ya kura zao ndio suluhisho pekee la maendeleo ya nchi yetu. KATIBA IBADILISHWE
Ni jambo lililowazi kuwa kibiashara Vyama vya upinzani vilivyopata wabunge wengi, basi RUZUKU itaongezeka, Hivyo wale wote wanaodhania Slaa kutoingia Ikulu ni kufa na njaa basi wameishiwa kabisa.
Hii biashara ya RUZUKU ndiyo pekee inayowafanya wale tunaowaona wapinzani kumbe sio, si chadema wala CUF-bara, achilia mbali NCCR watakaotamba na kusema ni wapinzania.
Akitokea mtu au chama ambazo watasema tubadili katiba hii, na NEC hii hapo ndio mwanzo wa utungu wa ukombozi wa taifa hili.
Slaa hayuko tayari na alishasema kazi ngumu sana kubadili katiba! sembuse urais?
Hivi ukiingia kwenye uchaguzi hali ukijua NEC ni ya CCM na wataipendelea CCM, JE MATEGEMEO NI NINI? Je swala la kuibiwa kura halikuonekana? Nani alifuatilia lini majina ya wapiga kura yatatolewa na yasipoonekana wafanye nini?
Huu uvivu wa kufikiri na kudhania kuwa NEC leo watakuwa malaika ili hali wamefanya hivyo miaka yote ni uvivu kama sio USALITI!
HIVI SASA wapinzani watakaa kimya,no one will ever talk about NEC and its reformation,no one will talk about the constitutional change?
Kama Slaa na wenzake wataanzia hapa LEO HII, SASA HIVI, THEN MTAONEKANA NA WALE WENYE AKILI KUWA MNA MALENGO MAZURI NA NCHI HII.
Lakini ni hatari kudhania kuwa CHADEMA ikiingia madarakani kwa katiba hii, then hawatafurahia wanachokifurahia CCM!!!!!! Hii ni kama kuwa mafisi yanayosuburi CCM iangushe nyama inayoitwa Tanzania.
Katiba ingekuwa imabadilika, asilimia 24 alizopata Slaa zingetosha walau kushika hata wizara mbili!!!, then next election wangeenda mbali zaidi,
Vyama hivi viko kibiashara zaidi na havina lengo la kuikomboa Tanzania!!
Leo Simba wakijua refarii huyu atapendela Yanga hawaingii uwanjani! Hii akili ndogo kabisa ndiyo inawafanya watu mtoane mimacho hali mmeuziwa mbuzi kwenye gunia? CCM gani watakubali watoke mabadarakani kirahisi rahisi hali wizi na ufisadi ni kama pumzi ya uhai kwao, kwani alichofanya Mahanga Segerea si ni mfano tosha kuwa vyampa vya upinzani havijajitayarisha?
Well, mtego mwingine ni kuwa msipigane na hizo ruzuku, issue ambayp imekila chadema kwa muda mrefu chini ya Mbowe!
Bila kubadilisha NEC na Katiba, basi ni ushahidi tosha malengo ya vyama hivi ni mabaya sana kuliko maelezo, na kama kawaida wafuata mkumbo wale 70% na wanasema AMINA!
Is not my first time, I said it and will always be!
HATUNA WAPINZANI NA CHADEMA SIO WAPINZANI
I submitt