Papuchi za kizungu v/s vijana wa bongo ktk kutafuta fursa

Kidasa

JF-Expert Member
Aug 1, 2013
309
108
Mimi nipo Arusha kikazi, juzi nilikuwa napata lunch katika mgahawa mmoja upo maeneo ya CLOCK TOWER.Tutakawa tumekaa meza moja na kijana mmoja huku tunaendelea kupata menu,ghafla akatokea kijana mmoja ambaye walipotezana kama mwaka na huyo table mate wangu.Kwa kweli niliinjoi kwa stori zao walizokuwa wanazipiga.
Table mate wangu:Ni kijana ambaye sasa hivi ameamua kutumia fursa vizuri baada ya kugegeda papuchi kibao za kizungu na hatimaye akaweza kuzichota za kutosha hivyo kuweza kufungua kampuni yake ya Kitalii.Baada ya kuifungua kampuni yake na kwa vile network yake kwa wazungu ni nzuri,kampuni yake imeweza kufanya vizuri ndani ya mwaka mmoja na nusu imetengeza turnover(Sales) ya zaidi ya milioni 800.Huyu mate wangu ameamua kutulia na kutafuta nyapu moja ya kiswedeni na kuiweka ndani(Kuoa).In short anazigegedaga za nje kidizaini lakini sio kama zamani.
FRIEND WAKE MATE WANGU:Ni play boy mmoja nzuri wa kugegeda ngozi nyeupe,na amekuwa akizipanga foleni jinsi anavyotaka yeye,zenyewe zinajipeleka kwake,tatizo la huyu jamaa anashindwa kutumia opportunity vizuri(Fursa) anaweza akawachezea usanii within one month akatengeza dolla zaidi ya 50,000/= lakini zote zinaishia kuponda starehe.Huyu jamaa kwa sasa kamwoa mholanzi na ana mtoto mmoja na huyo mholanzi,na alipokuja hapo alikuwa na siku kama tatu tangu atue bongo.Jamaa anadai mholanzi anampa stress kwani anamchunga sana,kitendo cha kuja Bongo amejihisi kama yupo peponi,ili azigegede za kutosha na ikiwezekana ampige mholanzi chini atafute kifaa kipya ambacho hakina Stress.
Kwa kweli nilipata wasaa wa kumshauri jamaa juu ya kutulia na kuhakikikisha anatumia hizo fursa vizuri ili kujijenga kimaisha na kusaidia familia yake na Taifa lake.Anadai Mholanzi ana hela sana tatizo lake tu ni hilo la wivu na kumchunga.Akimpa business idea ambayo ni nzuri mholanzi hapingi.NIKAJIULIZA KWELI PENYE MITI MINGI HAKUNA WAJENZI.
Ndugu zangu vijana ambao mpo katika hali ya kufuga nywele, kuzidread au kuzifanya rasta,mna weusi halisi wa kiafrica,na mnaweza kuzungumza kiingereza kwa ufasaha,mna body kidogo ya mazoezi mjue nyie ni LULU ya hizi ngozi nyeupe tumieni fursa vizuri kujijenga kimaisha na hatimaye kukomboa familia zenu.
 
Hata mm kuna mshikaji wangu kwao ni choka mbaya yan ndan ya miaka 2 tu kaanzisha kampuni ya kusafirisha watalii kisa nyapu ya kizungu, dah hayo ndo unasikia mazali.
 
Ok kumbe dada zetu nao wakitoka na vibabu vya kizungu wasiitwe limbukeni kumbe watu wanatafuta fursa na si mapenzi ok! Ngoja nirudi gym niporomoshe hii ndambi, ni plait my nearly half loss hair ziwe dread, halafu ningie mtaani kusaka ngozi nyeupe, si wachina lkn hahaaaaa
 
Hizi ni kati ya mamilioni ya ajira tuloahidiwa. Wacha watumie fursa
 
Marioooooooooooooooo oooh!!!! Marioooooooooooooooooooooooooo
Oh! Mario
Luka ata mwasi yo moko obala- OH MARIO, LOOK FOR ONE WOMAN TO MARRY
Mario mosala kolinga ba mama mobokoli- YOU HAVE A TENDENCY TO GO AFTER OLDER WOMEN
Basuka yo te ?-WILL YOU EVER GET ENOUGH OF THEM?
Lelo makambo lobi makambo nalembi-TODAY PROBLEMS, TOMORROW PROBLEMS IM TIRED
 
Ndugu zangu vijana ambao mpo katika hali ya kufuga nywele, kuzidread au kuzifanya rasta,mna weusi halisi wa kiafrica,na mnaweza kuzungumza kiingereza kwa ufasaha,mna body kidogo ya mazoezi mjue nyie ni LULU ya hizi ngozi nyeupe tumieni fursa vizuri kujijenga kimaisha na hatimaye kukomboa familia zenu.
Hawa jamaa kumbe lulu Da
 
Mimi nipo Arusha kikazi, juzi nilikuwa napata lunch katika mgahawa mmoja upo maeneo ya CLOCK TOWER.Tutakawa tumekaa meza moja na kijana mmoja huku tunaendelea kupata menu,ghafla akatokea kijana mmoja ambaye walipotezana kama mwaka na huyo table mate wangu.Kwa kweli niliinjoi kwa stori zao walizokuwa wanazipiga.
Table mate wangu:Ni kijana ambaye sasa hivi ameamua kutumia fursa vizuri baada ya kugegeda papuchi kibao za kizungu na hatimaye akaweza kuzichota za kutosha hivyo kuweza kufungua kampuni yake ya Kitalii.Baada ya kuifungua kampuni yake na kwa vile network yake kwa wazungu ni nzuri,kampuni yake imeweza kufanya vizuri ndani ya mwaka mmoja na nusu imetengeza turnover(Sales) ya zaidi ya milioni 800.Huyu mate wangu ameamua kutulia na kutafuta nyapu moja ya kiswedeni na kuiweka ndani(Kuoa).In short anazigegedaga za nje kidizaini lakini sio kama zamani.
FRIEND WAKE MATE WANGU:Ni play boy mmoja nzuri wa kugegeda ngozi nyeupe,na amekuwa akizipanga foleni jinsi anavyotaka yeye,zenyewe zinajipeleka kwake,tatizo la huyu jamaa anashindwa kutumia opportunity vizuri(Fursa) anaweza akawachezea usanii within one month akatengeza dolla zaidi ya 50,000/= lakini zote zinaishia kuponda starehe.Huyu jamaa kwa sasa kamwoa mholanzi na ana mtoto mmoja na huyo mholanzi,na alipokuja hapo alikuwa na siku kama tatu tangu atue bongo.Jamaa anadai mholanzi anampa stress kwani anamchunga sana,kitendo cha kuja Bongo amejihisi kama yupo peponi,ili azigegede za kutosha na ikiwezekana ampige mholanzi chini atafute kifaa kipya ambacho hakina Stress.
Kwa kweli nilipata wasaa wa kumshauri jamaa juu ya kutulia na kuhakikikisha anatumia hizo fursa vizuri ili kujijenga kimaisha na kusaidia familia yake na Taifa lake.Anadai Mholanzi ana hela sana tatizo lake tu ni hilo la wivu na kumchunga.Akimpa business idea ambayo ni nzuri mholanzi hapingi.NIKAJIULIZA KWELI PENYE MITI MINGI HAKUNA WAJENZI.
Ndugu zangu vijana ambao mpo katika hali ya kufuga nywele, kuzidread au kuzifanya rasta,mna weusi halisi wa kiafrica,na mnaweza kuzungumza kiingereza kwa ufasaha,mna body kidogo ya mazoezi mjue nyie ni LULU ya hizi ngozi nyeupe tumieni fursa vizuri kujijenga kimaisha na hatimaye kukomboa familia zenu.

umenena vema mkuu ingawa lengo la kila mtu kwenye kugonga nyapu ya ngozi nyeupe hutofautiana kati ya mtu mmoja na mwingine
Mfano mimi nia yangu kwa hawa binadamu ni kuonja nyapu ya kidhungu tu . Hilo tu linalonilaza usiku macho
 
Marioooooooooooooooo oooh!!!! Marioooooooooooooooooooooooooo
Oh! Mario
Luka ata mwasi yo moko obala- OH MARIO, LOOK FOR ONE WOMAN TO MARRY
Mario mosala kolinga ba mama mobokoli- YOU HAVE A TENDENCY TO GO AFTER OLDER WOMEN
Basuka yo te ?-WILL YOU EVER GET ENOUGH OF THEM?
Lelo makambo lobi makambo nalembi-TODAY PROBLEMS, TOMORROW PROBLEMS IM TIRED
i like that music.
 
Mimi nipo Arusha kikazi, juzi nilikuwa napata lunch katika mgahawa mmoja upo maeneo ya CLOCK TOWER.Tutakawa tumekaa meza moja na kijana mmoja huku tunaendelea kupata menu,ghafla akatokea kijana mmoja ambaye walipotezana kama mwaka na huyo table mate wangu.Kwa kweli niliinjoi kwa stori zao walizokuwa wanazipiga.
Table mate wangu:Ni kijana ambaye sasa hivi ameamua kutumia fursa vizuri baada ya kugegeda papuchi kibao za kizungu na hatimaye akaweza kuzichota za kutosha hivyo kuweza kufungua kampuni yake ya Kitalii.Baada ya kuifungua kampuni yake na kwa vile network yake kwa wazungu ni nzuri,kampuni yake imeweza kufanya vizuri ndani ya mwaka mmoja na nusu imetengeza turnover(Sales) ya zaidi ya milioni 800.Huyu mate wangu ameamua kutulia na kutafuta nyapu moja ya kiswedeni na kuiweka ndani(Kuoa).In short anazigegedaga za nje kidizaini lakini sio kama zamani.
FRIEND WAKE MATE WANGU:Ni play boy mmoja nzuri wa kugegeda ngozi nyeupe,na amekuwa akizipanga foleni jinsi anavyotaka yeye,zenyewe zinajipeleka kwake,tatizo la huyu jamaa anashindwa kutumia opportunity vizuri(Fursa) anaweza akawachezea usanii within one month akatengeza dolla zaidi ya 50,000/= lakini zote zinaishia kuponda starehe.Huyu jamaa kwa sasa kamwoa mholanzi na ana mtoto mmoja na huyo mholanzi,na alipokuja hapo alikuwa na siku kama tatu tangu atue bongo.Jamaa anadai mholanzi anampa stress kwani anamchunga sana,kitendo cha kuja Bongo amejihisi kama yupo peponi,ili azigegede za kutosha na ikiwezekana ampige mholanzi chini atafute kifaa kipya ambacho hakina Stress.
Kwa kweli nilipata wasaa wa kumshauri jamaa juu ya kutulia na kuhakikikisha anatumia hizo fursa vizuri ili kujijenga kimaisha na kusaidia familia yake na Taifa lake.Anadai Mholanzi ana hela sana tatizo lake tu ni hilo la wivu na kumchunga.Akimpa business idea ambayo ni nzuri mholanzi hapingi.NIKAJIULIZA KWELI PENYE MITI MINGI HAKUNA WAJENZI.
Ndugu zangu vijana ambao mpo katika hali ya kufuga nywele, kuzidread au kuzifanya rasta,mna weusi halisi wa kiafrica,na mnaweza kuzungumza kiingereza kwa ufasaha,mna body kidogo ya mazoezi mjue nyie ni LULU ya hizi ngozi nyeupe tumieni fursa vizuri kujijenga kimaisha na hatimaye kukomboa familia zenu.

Ndugu usidaganyike........wazungu wa hivyo ilikua ni zamani.........hao vijana wa Arusha waongo sana, ni wataalam wa kuongeza sifuri mwisho, akikuambia ana 100,000/= toa sifuri moja, ujue ana 10,000/=. Ishu ya makampuni ya utalii wengi wanatumiwa na wazungu....sheria ya mzungu kufungua kampuni ya utalii nchini ni ngumu sana, inamtaka awe na magari yasiyo pungua 10, na pia kodi anayolipa ni kubwa kuliko mzawa. Mzawa hata ukiwa na magari 3 unapata leseni na kodi ni ndogo.......hivyo wazungu wanawatumia vijana kufungua makampuni, wanatuma watalii lakini pesa yote inabaki nje............pesa inayokuja ni ya operations tu ambayo ni kidogo na huwa haina maslahi, (ni pesa ya bia tu) Tahadharini vijana msijiingize kwenye mitego hiyo........mtaaribu future yenu maana mzungu akikuchoka atakuacha.......na akikuacha unajikuta huna ramani na umri umeshakwenda, mifano iko mingi tu hata hapo Arusha, utakuta kijana yuko kijiweni anaomba bia, ukiuliza story yake unaambiwa chalii alikuaga na kampuni na magari ya utalii, ukiuliza yalikokwenda wanazingizia eti jamaa alikua anafanya starehe, kumbe mzungu alikua anamjaza pesa ya kwenda disko kila weekend ili ajisahau aone maisha umeyapatia........pambaneni kivyenu vijana acheni kuishi ndotoni.
 
Marioooooooooooooooo oooh!!!! Marioooooooooooooooooooooooooo
Oh! Mario
Luka ata mwasi yo moko obala- OH MARIO, LOOK FOR ONE WOMAN TO MARRY
Mario mosala kolinga ba mama mobokoli- YOU HAVE A TENDENCY TO GO AFTER OLDER WOMEN
Basuka yo te ?-WILL YOU EVER GET ENOUGH OF THEM?
Lelo makambo lobi makambo nalembi-TODAY PROBLEMS, TOMORROW PROBLEMS IM TIRED

You sound like @lara1
 
Ndugu usidaganyike........wazungu wa hivyo ilikua ni zamani.........hao vijana wa Arusha waongo sana, ni wataalam wa kuongeza sifuri mwisho, akikuambia ana 100,000/= toa sifuri moja, ujue ana 10,000/=. Ishu ya makampuni ya utalii wengi wanatumiwa na wazungu....sheria ya mzungu kufungua kampuni ya utalii nchini ni ngumu sana, inamtaka awe na magari yasiyo pungua 10, na pia kodi anayolipa ni kubwa kuliko mzawa. Mzawa hata ukiwa na magari 3 unapata leseni na kodi ni ndogo.......hivyo wazungu wanawatumia vijana kufungua makampuni, wanatuma watalii lakini pesa yote inabaki nje............pesa inayokuja ni ya operations tu ambayo ni kidogo na huwa haina maslahi, (ni pesa ya bia tu) Tahadharini vijana msijiingize kwenye mitego hiyo........mtaaribu future yenu maana mzungu akikuchoka atakuacha.......na akikuacha unajikuta huna ramani na umri umeshakwenda, mifano iko mingi tu hata hapo Arusha, utakuta kijana yuko kijiweni anaomba bia, ukiuliza story yake unaambiwa chalii alikuaga na kampuni na magari ya utalii, ukiuliza yalikokwenda wanazingizia eti jamaa alikua anafanya starehe, kumbe mzungu alikua anamjaza pesa ya kwenda disko kila weekend ili ajisahau aone maisha umeyapatia........pambaneni kivyenu vijana acheni kuishi ndotoni.

Mkuu bora umewashauri vema kwa sababu mzungu sio mjinga kiasi hiki. Mzungu hata yeye kwao sio kwamba anavhota pesa anastruggle kama sisi huku kwetu
 
Ndugu usidaganyike........wazungu wa hivyo ilikua ni zamani.........hao vijana wa Arusha waongo sana, ni wataalam wa kuongeza sifuri mwisho, akikuambia ana 100,000/= toa sifuri moja, ujue ana 10,000/=. Ishu ya makampuni ya utalii wengi wanatumiwa na wazungu....sheria ya mzungu kufungua kampuni ya utalii nchini ni ngumu sana, inamtaka awe na magari yasiyo pungua 10, na pia kodi anayolipa ni kubwa kuliko mzawa. Mzawa hata ukiwa na magari 3 unapata leseni na kodi ni ndogo.......hivyo wazungu wanawatumia vijana kufungua makampuni, wanatuma watalii lakini pesa yote inabaki nje............pesa inayokuja ni ya operations tu ambayo ni kidogo na huwa haina maslahi, (ni pesa ya bia tu) Tahadharini vijana msijiingize kwenye mitego hiyo........mtaaribu future yenu maana mzungu akikuchoka atakuacha.......na akikuacha unajikuta huna ramani na umri umeshakwenda, mifano iko mingi tu hata hapo Arusha, utakuta kijana yuko kijiweni anaomba bia, ukiuliza story yake unaambiwa chalii alikuaga na kampuni na magari ya utalii, ukiuliza yalikokwenda wanazingizia eti jamaa alikua anafanya starehe, kumbe mzungu alikua anamjaza pesa ya kwenda disko kila weekend ili ajisahau aone maisha umeyapatia........pambaneni kivyenu vijana acheni kuishi ndotoni.

hii ni kweli kabisa vijana waliopatwa na hayo wapo wengi,..
..hao wakina bibi wanabana mpaka kwenye account binafsi...ni vijana wachache sana wanaofanikiwa kimaisha kupitia hawa wazungu...
...vijana jitahidini kutumia akili zaidi kutengeneza maisha..kuliko kutumia miili yenu..
 
Ndugu usidaganyike........wazungu wa hivyo ilikua ni zamani.........hao vijana wa Arusha waongo sana, ni wataalam wa kuongeza sifuri mwisho, akikuambia ana 100,000/= toa sifuri moja, ujue ana 10,000/=. Ishu ya makampuni ya utalii wengi wanatumiwa na wazungu....sheria ya mzungu kufungua kampuni ya utalii nchini ni ngumu sana, inamtaka awe na magari yasiyo pungua 10, na pia kodi anayolipa ni kubwa kuliko mzawa. Mzawa hata ukiwa na magari 3 unapata leseni na kodi ni ndogo.......hivyo wazungu wanawatumia vijana kufungua makampuni, wanatuma watalii lakini pesa yote inabaki nje............pesa inayokuja ni ya operations tu ambayo ni kidogo na huwa haina maslahi, (ni pesa ya bia tu) Tahadharini vijana msijiingize kwenye mitego hiyo........mtaaribu future yenu maana mzungu akikuchoka atakuacha.......na akikuacha unajikuta huna ramani na umri umeshakwenda, mifano iko mingi tu hata hapo Arusha, utakuta kijana yuko kijiweni anaomba bia, ukiuliza story yake unaambiwa chalii alikuaga na kampuni na magari ya utalii, ukiuliza yalikokwenda wanazingizia eti jamaa alikua anafanya starehe, kumbe mzungu alikua anamjaza pesa ya kwenda disko kila weekend ili ajisahau aone maisha umeyapatia........pambaneni kivyenu vijana acheni kuishi ndotoni.

Tatizo vijana wengi wakiona weupe wanajua wana pesa!!!hayo mambo yalikuwa zamani...tafuteni vijana don't become a sex machine
 
Kuna waliotoka kimaisha n hao wadada ila vingi n vibibi yani bila kuota jua vitaugua cz vizee sana, yan vijana wana pambana kutoka ila kwel inabidi ujitoe ufahamu bibi w 70yrz unamgegeda mpka uweke picha y jlo ndio filling zije
 
Sasa kwa hiyo unafundisha vijana wachangamkie fursa na watumie vzr? Ni sawa, kuna tofauti gani sasa kati mwanaume anaeenda kutega wazungu via via na changudoa anayepanga foleni shivas au anex? You can do better than that.
 
Kweli you can do better than that,ndio maana nasema niliwashauri kutulia sio kuhangaika hovyo,but inapotokea ngozi nyeupe imekuzimikia na ina hela,kijana tumia fursa kutoka kimaisha.Mkuu ukitaka kuwapata njoo VIA VIA kuanzia alhamis utaniambia mwenyewe.Kumbuka inshort wazungu wengi huku Arusha wanakuja kwa ajili ya Utalii hivyo wanatafuta ngozi nyeusi ya kuspend nayo either boys or ladies
 
Back
Top Bottom