Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,901
- 95,401
HapanaHuyu ndiye anamiliki hadi Zero IQ humu jukwaani?
Nilijua wale walioenda Misri, ile logo ya Tifutifu imekosekana tu hapo.Hapana
KiongoZ wa mbio za mwenge
Leo lazima mtu apigwe ban humu.Nimejikuta natizama maeneo ya zipu...... msiseme akili yangu chafu looh, macho hayana adabu wala pazia.....
Teh ...
Auntie miss you
Leo lazima mtu apigwe ban humu.
Yes !!Really.....!!
Kumbe mzuri hivi 😋 😋
Yes !!
Hehehehehheheeee wuuuhuuuuuuu teeeenkyuuuuuu
Kasie Mahaba.
Mi ntoto hayo mahaba ndo yakoje
Mtanashati. Wa mavazi hadi akili
Nimejikuta natizama maeneo ya zipu...... msiseme akili yangu chafu looh, macho hayana adabu wala pazia.....
Mbinguni hutofika ww.
Huyu jamaa nilibahatika kukaa nae siti jirani kwenye ndege. Brother Maxence Melo mimi ni yule jamaa niliempisha your son achungulie dirishani tulipokaribia kutua DXB. Very nice guy.Nimejikuta natizama maeneo ya zipu...... msiseme akili yangu chafu looh, macho hayana adabu wala pazia.....
Jamaniii...... kwanini...?!