WANGU MIMI
Member
- Sep 11, 2012
- 30
- 3
Kweli kuuwawa kwa mwangosi na hata mtu yeyote hakuna anayeshangilia. Mimi naamini hata aliyeua iwe kwa makusudi au bahati mbaya kwa sasa anajuta. Kitu kinachosikitisha ni kwamba watu wengi wanaitumia kupata umaarufu. Wengi wetu hatukuwepo eneo hilo ila kupitia wanahabari tumepata taarifa. Kibaya hapa ni wanahabari haohao wanakuja kila mtu na story yake. Mwingine kasema yeye alikuwepo pale ha hakumtaja mwandishi huyu kama alimwona na huyu anasema alikuwa pekeyake. Sasa tusitafute umaarufu kupitia mambo mabaya. Kilichotokea si kizuri kwa binadamu yeyote. Pia mwandishi huyu alisema aliamua kukaa kimya mpaka aliposhauriwa na wakuu wake.
Hii inaonyesha wazi waandishi wetu wanavyochagua habari za kutujulisha.
Ninajiuliza alikua anaficha nini au alikua anaogopa nini.
Kwa sasa taarifa imetoka nakumpeleka muuaji mahakamani yeye anaibuka.
Kaka mwandishi hayo uliyoongea sina la kukupinga kwani sikuwepo, ila napinga jinsi ulivyolitoa.
Kama ungesema yote mapema hata polisi wasingesema amepigwa na kitu kigumu.
Ulikuwa na masilahi gani kukaa kinya.