Papaa Msofe

michepuko

JF-Expert Member
Apr 22, 2014
1,193
342
Ni miaka sasa imepita bila kusikia jina la mfanyabiashara papaa Msofe likitajwatajwa sana kwenye band za muziki Wa dance,kumbi za starehe na wa vyombo vya habari.

Kipindi cha nyuma nilikua nikiliskia sana jina hili likitawala bila kuelewa ni nani haswa mtu huyu.

Leo naona si vibaya wanaomfahau huyu bwana wakitutanabaisha kwamba ni nani, na anahusika na biashara gani mpaka kupelekea kuwa na umaarufu kiasi kile?

Ahsanteni.
 
Ni miaka sasa imepita bila kusikia jina la mfanya biashara papaa Msofe likitajwatajwa sana kwenye band za muziki Wa dance,kumbi za starehe na wa vyombo vya habari.Kipindi cha nyuma nilikua nikiliskia sana jina hili likitawala bila kuelewa ni nani haswa mtu huyu,

mi natokeaga kule kwa walingala nna pesa chafu nafanya biashara ya madini na kudhulumu watu ila kwa sasa npo na ndugu yangu nguza viking
 
Pedeshee Ndama,Fally Ipupa kamrusha huyu!nae anabiashara gani mkuu?

Biashara zao si zile za kuwapa wasanii kete. wasanii wengine wakiume walikua wanaingiziwa kupitia haja kubwa kabisa na ndio unaona wengine wanapumuliwa sasa
 
Mkuu ni kweli walikua wanaingiziwa sembe kupitia Ringi?hebu kama unawafahamu hao wasanii ufunguke nasi tuwatambue mkuu.
 
Ni miaka sasa imepita bila kusikia jina la mfanya biashara papaa Msofe likitajwatajwa sana kwenye band za muziki Wa dance,kumbi za starehe na wa vyombo vya habari.Kipindi cha nyuma nilikua nikiliskia sana jina hili likitawala bila kuelewa ni nani haswa mtu huyu,
Leo naona si vibaya wanaomfahau huyu bwana wakitutanabaisha kwamba ni nani, na anahusika na biashara gani mpaka kupelekea kuwa na umaarufu kiasi kile?
Ahsanteni.

anauza maandazi ya bakhresa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom