Papaa Msofe naye yamkuta. Afikishwa Mahakamani akituhumiwa na makosa matano likiwemo ya Utakatishaji fedha

Hao ndio wenye DSM yao.. Hao ndio walisababisha watu waone bongo movie, bongo fleva, dance music, utangazaji na uandishi wa habari vionekane vinalipa. Wakinadada na makaka wa Bongo movie hao ndio walikuwa wawezeshaji wao mjini kuanzia kwaazima magari, majumba makali makali ya kuchukulia movie.. Ila majamaa wamewavua sana chupi hawa madada wa Bongo movie kifupi bongo movie ilikuwa ndio dangulo lao..Madada wameliwa sana "channel 0" mpaka aibu na wengine kuishia kupewa magari ya wizi, magari bila kadi.. Kuna mademu ukimiliki basi jua umeliwa maana hao wakiwahitaji muda wowote wakati wowote na mahala popote lazima waende...
 
Muza ktz siku hizi kimya sana mjini, ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga..
 
Ila jamaa michezo yao ya hatari sana, hapo alikuwa anataka kupigwa mreno. Ila kwenye upigaji wao kama utaka kupigwa dhahabu ya 2bilioni lazima pia wawe na original gold ya 2bil halafu baada ya hapo kinachofuata unapigwa kanyanga. Serikali iende mbali kujua dhahabu Original ya thamani kubwa wanaitoa wapi...Ila hawa jamaa ni wapigaji wakimataifa na huwa hawadili na dili moja bali kinachokuja mbele twende..
 
Zile W6 zinamisingi yake, ili habari isilete makona kona ndio mana unatakiwa ku clear ambiguity za aina yeyote katika habari.

Uandishi wa namna hii huwa wa udaku tu. By the way kwanza na jina lenyewe inaonekana alikusudia kuleta ambiguity kwakua hati ya Mashitaka inasoma Josephine Haule na sio Joseph Haule hivyo mwandishi huyu inaonekana Ni miongoni mwa wale MAKANJANJA.
Tanzania tuna tatizo moja kubwa sana: Kutokuwa makini na vitu au kazi tuzifanyazo. Kama hili ni kosa la kizembe kabisa lakini aliyeandika ataona ni kosa lisiloepukika.
 
Una undugu na P. Diddy?
MPWA NA M7 WAMENYONGWA AIJUI KWA NN AKUSOMA NYAKATI WALE MABDGD AWAPO TENA KWIKWIKWIII MABINTI SAYUNI WAMENJOY KWELI HELA ZA ZULUMA ...WAKIMWONA WALIKUWA WANAMWITA OUR ENERGY IS BK SASA SIJUI YA MO AMA BAKHER...
 
Ukionekana maeneo yale kaka mkuu, kila anaekuona anahisi na wewe ni mtu wa madili, jambazi au malaya. Tafuta sehemu tulivu ule vya halali kihalali
Pale kna wezi wa funguo hadi kadi
Kuingilia vyumbn
Ukimpeleka mgeni wako kuwa makini
Mm nlimpeleka mgeni wangu mmja pale Kuingia nlikutana na namba hzo mmja namjua nkamwambia Vp unafanya nn huku? Nlishajua mchezo yao hpo hpo nka faulisha mgeni
Hoteli nyingine

Ova
 
Yupo Ali invest kwenye apartments
Lbda a nakula kodi

Ova

Wengi wao kwenye kundi lao wanamiliki apartments, hata Marijani aka Msofe mshindo wake wa kwanza tu alimiliki apartmnts pale kijitonyama kwa Alimaua pale nilimuona katumia akili sana.. ila jamaa alianza siku nyingi mapichapicha nakumbuka toka awamu ya tatu alianza kuwapasua, dah hela huwa hazijai kipindi kile kulikuwa hakuna wakuwagusa wakorea walilia sana..
 
Walimuokota kwao huko kwenye nsenene wakampeleka mbeya,yangemkuta ya marijani ikawa vile akawa uraiani

Kuna stori moja nilisikia kwa jamaa yao mmoja mahala, kuwa jamaa alifanyiziwa kwa wavimba macho na mambo sio mazuri chini, aliwapiga jamaa wakadisolve ili wamuingize kwenye timing, alivyojaa wakamteka kwao huko halafu wakaharibu mambo..
 
Mh Magufuri amefanya la maana sana kudeal na bandari pale, kile kilikuwa kisima cha wakali wa danta.
Michezo ilikuwa mingi sana na kila mtu alikuwa na lake pale, bado kazi kubwa inahitajika ili pawe salama na rafiki.
 
Wengi wao kwenye kundi lao wanamiliki apartments, hata Marijani aka Msofe mshindo wake wa kwanza tu alimiliki apartmnts pale kijitonyama kwa Alimaua pale nilimuona katumia akili sana.. ila jamaa alianza siku nyingi mapichapicha nakumbuka toka awamu ya tatu alianza kuwapasua, dah hela huwa hazijai kipindi kile kulikuwa hakuna wakuwagusa wakorea walilia sana..
Huyu mm nlianza kumjua Miaka ya 96 97
Alikuwa salamander mjini a nashugulika na vz fki na pp fki bandika bandua zile
Akapanda chati alijingiza kwenye upigaji wa dhahabu na hapo walifundishwa na mkongo mmja Jina limenitokaaa

Ova
 
Huyu mm nlianza kumjua Miaka ya 96 97
Alikuwa salamander mjini a nashugulika na vz fki na pp fki bandika bandua zile
Akapanda chati alijingiza kwenye upigaji wa dhahabu na hapo walifundishwa na mkongo mmja Jina limenitokaaa

Ova

mshindo wake wa kwanza waliupiga kwa wakorea mzee mzima wa Moro enzi zile ndiye manyota wa manjagu akakinga kifua, wale jamaa walikuwa na urafiki na bimkubwa wa Mzee wa lupaso.
 
Back
Top Bottom