Papa Msofe ni mfanyabiashara au tapeli Maarufu?

Ndio huyo kati kati akimwaga alichovuna:

mus.jpg
uyu wakulia nani?
 
sidhani Kama Wana hela tena ya kutamba mtaaani
Msofe bado ana investments nyingi sana, network yake around the globe(I mean business associates) wapo na huwa hawatupani.
Ni full-time hustler na mtaji wake namba moja ni kichwa hivyo usitegemee kumuona level za mavumbini, ukiona mtu anatengeza michongo na kupiga pesa ndefu lakini inashindikana kupata ushahidi solid wa kumfunga ujue hicho ni kichwa.
Kesi ya kubumba waliyompachika wameshindwa kumfunga.
 
Pesa za SEMBE.
 
Nawapa true story jinsi walivyo mliza rafiki yangu wa karibu toka arabuni. Rafiki alikuja nchini na akataka kununua dhahabu. Akaenda kwa sonara pale k'koo, sonara akampa contact za hussein na Msofe. Akawapigia simu wakamuomba aonane nao kndoni- vijana(mimi hakunishirikisha). Akiwa vijana nilimpigia simu nikashangazwa na yeye kuwa eneo lile kwa ni simuendaji wa baa na hapendi kwenda sehemu zenye kelele. Punde nika mfuata nika kuta anagana na Msofe + rafiki yake. Kumbe walikuwa wamemaliza mazungumzo ya biashara na walikuwa wamekubaliana kuwa watamuuzia dhahabu kilo 20. Alikaribishwa ofisini kwao na kuoneshwa dhahabu yenyewe na akashuriwa achukue kidogo akahakiki kwa sonara, alifanyahivyo. Baada ya kuhakiki alilipa na wao walikubali kulipa mrahaba wa mamlaka ya madini(30%). Sanduku lifungwa kwa kufuri aliyonunua huyo mnunuzi na kuwekewa seal ya stamico. Wauzaji walimshauri aliache sanduku aje alichukue wakati wa kwenda aeroport- alikubali. Siku ya safari alikuja kuchukua sanduku lake, alipofika walimuomba ajiridhishe kuwa sanduku lake ni lenyewe- alihakiki: MCHEZO ULIPOFANYIKA: wakati anataka kutoka husein alimuanzishia story juu ya future cooperation na wakati huo akaita walinzi wabebe sanduku(sanduku likabadilishwa). Mteja (1afiki yangu) akaondoka. Alipofika arabuni alikuta kwenye sanduku kuna vipande vya nondo. Aliwapigia simu kuuliza kulikono- wakawa wakali kuwa wao ni watu safi wanaoheshimika na washika dini kwa hiyo hawawezi kufanya mchezo huo.
Subhaana lllaaah!!!
Hivi yanatokaje jela haya majizi
 
nachofaham_jamaa anafanya biashara ya kokoto, mchanga na kifusi pale kunduch na ameanza kama dalali lakn alipata kubwa akanunua lori na kwa kwel ni mchapakaz_sasa kafungua ofis na kaongeza malori, anapenda sana misifa hasa kupaishwa kwny muziki. Ni opportunist wa maana
Ndio inaitwa biashara ya kuwafunga maboya midomo ili wasisanuke .
Mtu anamagari mengi ya kisasa halafu nyumba kibao halafu eti anauza mchanga seriously.??
 
Pesa za SEMBE.
Kama hujui mambo ya town yaache kama yalivyo, Msofe ni hustler yeah lakini kwenye sembe hayupo na wala hajawahi kuwepo.
Ukisikia alivuta Wazungu au Wachina akawaingiza chaka akavuna milioni kadhaa za dollars labda ila si kwenye sembe.
 
Alimpeleka NRB au Mombasa akampa mshiko wake kabisa acha mtoto ajitume usiku kucha ghafla majambazi yakaingia lodge yakapora pesa yote kumbe ni washikaji zake Msofe,yaani ilikuwa nouma!

Kumbe wadangaji/malaya nao wanakutanaga na mambo mazito kiasi hicho?!

Yani nimecheka kwa sauti kubwaaaa

Kwa hiyo kutaka kwake dau kubwa kaishia kuliwa bure

Kumbe wadangaji wanakutana na mengi?!
 
Kumbe wadangaji/malaya nao wanakutanaga na mambo mazito kiasi hicho?!

Yani nimecheka kwa sauti kubwaaaa

Kwa hiyo kutaka kwake dau kubwa kaishia kuliwa bure

Kumbe wadangaji wanakutana na mengi?!
Balaa kabisaa Irene enzi hizoo alikua hot balaa!kipindi hiko huduna za mpesa ndo ziko mwanzoni kabisa

Kazi zote zinachangamoto rafiki wanakutana na majanga sana!ila wanakomaa
 
nachofaham_jamaa anafanya biashara ya kokoto, mchanga na kifusi pale kunduch na ameanza kama dalali lakn alipata kubwa akanunua lori na kwa kwel ni mchapakaz_sasa kafungua ofis na kaongeza malori, anapenda sana misifa hasa kupaishwa kwny muziki. Ni opportunist wa maana
Mkuu wewe unamuongelea ntenze wa ntenze...mzee wa kokoto....!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom