Papa msofe atapeli kiwanja mbezi beach;atumia polisi wa kawe kuhalalisha

Mkuu hakuna tofauti yoyote kati ya Mahita na huyu wa sasa, wote wako kwenye MGAO (PAYROLL) ya hawa matapeli! Mbaya zaidi hawa wadogo wakileta fyoko, jamaa anampigia Mahita, na Mahita anatoa maelekezo, soo linazimwa (si unajua vyeo vya kijeshi/kipolisi hata ukistaafu bado unaheshimiwa na wale walio na vyeo vya chini?)!

Yaani Polis na manyota yao wanapewa amri na Tapeli ! kumbe sawa na dume la miraba minne lakini shoga ! funkuro !
 
Yaani Polis na manyota yao wanapewa amri na Tapeli ! kumbe sawa na dume la miraba minne lakini shoga ! funkuro !

ondoa shaka, hii post niya mwaka jana. Imepitwa na wakati. Kwasasa Papaa Msofe anachangia blanketi na babu seya, waliokuwa wanamlinda yamewashinda.........
 
kama ni kweli jogoo lake haliwiki basi amshukuru mungu,make cdhani kama angenusurika na hilo gonjwa,hv hy papaa msofe ana uraia wa wapi watanzania tuwe macho na watu kama hao wanafanya ujambazi kwenye nchi zao wanakimbilia kwetu tuwe makini kwa hilo
 
Back
Top Bottom