Papa msofe atapeli kiwanja mbezi beach;atumia polisi wa kawe kuhalalisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Papa msofe atapeli kiwanja mbezi beach;atumia polisi wa kawe kuhalalisha

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Pdidy, Jun 25, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,237
  Likes Received: 5,620
  Trophy Points: 280
  Kweli tapeli ni tapeli tu
  kwa waliosikia hivi majuzi kwenye clouds kuna mtu aitwae mlaya amelalamikia polisi wa kawe wakiongozwa na mkuu wa kituo kwa kutaka kuhalalalisha uhalali wa kiwanja chake kwa tapeli maarufu wa mjini papa msofe..akiwa anaongea kwa kujiamini mh mlaya alisema ameshangazwa sana unajua hiyo sehemu nilijenga baada ya hapo nikaweka nyumba ya kukaa mtu na kuzungushia uzio baada ya hapo nikasafiri nje ya nchi..wakati nakuja likizo nikaambiwa kuna mtu amekuja anadai kile kiwanja chake kwa kuwa sikuwa na muda mrefu sikupata kuweza kutafutia ufumbuzi nikamwachia ndugu yangu documents zote..bahati akaja jamaa anajiita hamis magale yeye ndio mmiliki akaombwa aonyeshe documents akadai tutazikuta ardhi...jamani hii wizara ya ardhi loh
  muda si mrefu nikarudi tanzania nikaanza kufwatilia ndipo akaja huyo jamaa anajiita hamis nikamwambia twende ardhi
  ukaonyeshe information zako...nikaenda moshi nikiwa moshi nikaambiwa wamevunja uzio wote ,,hee siku inayofwata nikaambiwa wamevunja na nyumba yangu nikaenda nikarudi nikaenda polisi kawe kuwaeleza huu uhuni wa huyu mtu akadai atafutwe aletwe yeye akawa akiwasiliana na mkuu wa polisi kituo cha kawe na baadhiya polisi wakimdanganya aendelee kujenga.

  Ilipofika waakti akaanza kuweka uzio na mimi nikaenda kuvunja nikamfwata mkuu wa kituo cha osterbay akanipa mpeleelzi ambae siku ya kukutana na mmiliki nikaaletewa barua nayeye anajiita marijan msofe..akaomba tukae sehemu tuongee na kunitaka kama nataka nimwachie kiwanja changu nimpe hela alizolipa ardhi kupata kiwanja.

  Jamani huyu mtu nimshenzi sana baada ya muda nikaona kaja na gari lingine waakti tukiongea na mkuuwa upelelezi niliepewa ...nilishangaa sana kuona papa msofe akiitwa na mkuu wapolisi wa kawe wakaingia ndan zaidi ya nusu saa alafu mkuu huyo akaniita akaniambia kwa nini msikae mwongelee mmalize..nilimshangaa sana sana watanzania na ndugu zangu wa cluods nasema hii nchi imeshauzwa documents zangu halali hizi hapa ajabu polisi anashindwa kusimamia uhuni wa huyu tapeli kisa wamekuwa wakishirikishwa ni aibu sana lakini ntasimama na haki yangu aitaenda bure

  nanukuu

  hivi jamani watanzania huyu jamaa ametapeli madini wengi tu na ni mtandao mkubwa pale kariakoo sasa ameanza kuingilia na ardhi nani anamlinda najua kipindi cha mahita alimtumia sana sana na baadhi ya defenders kufanikisha unyama wake baada ya hapo anawakatia fungu sasa sijui huyu mwema nae anatupeleka wapi

  mungu ibariki tanzania;mchaga usimwachie huyo mpaka dunia iseme utapeli basi
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  E bwana hawa mapapaa wengi ni WEZI,MATAPELI mdau ni kweli papa musofe ni tapeli kupindukia amewatapaeli wazungu madini sana,kuna jack pemba mwizi,ndama mutoto ya ngo'mbe mwizi nani anowalinda hawa wezi? PAPA MUSOFE NI TAPELI LILOKUBUU NA ANAKULA NA MAGAMBA WA NGAZI ZA JUU NDO MAANA ACHUKULIWI ATUA.
   
 3. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  sasa ameanza kutapeli wazawa hii mbaya sana yy aendelee kutapeli wa wekezaaji feki atuna shida nae lakini akianza kutapeli wazawa siku zake zitahesabika soon
   
 4. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Ukitaka kumweza huyu bwana nenda Aucland Tours uongee na mkewe.
  Approach iwe ya ki romance zaidi (onyesha una mu admire) na ninakupa 100% utatafanikiwa.
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mdau una maanisha kwamba mkewe anaweza kukupa tunda?
   
 6. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,482
  Likes Received: 12,744
  Trophy Points: 280
  hapa umeniacha kidooogo,sasa mkewe ukimrembulia macho ndo itakuwaje jamanii?
   
 7. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 849
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Mkuu hakuna tofauti yoyote kati ya Mahita na huyu wa sasa, wote wako kwenye MGAO (PAYROLL) ya hawa matapeli! Mbaya zaidi hawa wadogo wakileta fyoko, jamaa anampigia Mahita, na Mahita anatoa maelekezo, soo linazimwa (si unajua vyeo vya kijeshi/kipolisi hata ukistaafu bado unaheshimiwa na wale walio na vyeo vya chini?)!
   
 8. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,482
  Likes Received: 12,744
  Trophy Points: 280
  eeeh mbona hiviii? nagopaaa
   
 9. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #9
  Jun 25, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Duu hii balaa sasa! unampa mtu ngumu nyeusi hadharani!?
   
 10. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #10
  Jun 25, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,128
  Likes Received: 3,316
  Trophy Points: 280
  Pole sana kaka, Huyu jamaa msofe ni wakufungwa jela...hebu mtafute mama tibaijuka (waziri wa ardhi) atakusaidia kwa jambo hili.
   
 11. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #11
  Jun 25, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  una uhakika?
   
 12. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #12
  Jun 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  hivi huyo papa msofe jina lake halisi ni nani? nauliza ili niweze kumuepuka nikikumbana naye maana anaonekana kuwa ni mtu hatari sana
   
 13. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #13
  Jun 25, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,650
  Likes Received: 21,865
  Trophy Points: 280
  Mnategemea nini kama serikali yenyewe inaendeshwa kihuni au tuseme kimjini mjini?
   
 14. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #14
  Jun 25, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Inasemekana huyu papa Msofe jogoo wake hawiki (kuna mademu maarufuwamethibitisha hilo) sasa haya mapesa anayoyatafuta kwa utapeli ni ya nini?
   
 15. papaa masikini

  papaa masikini Senior Member

  #15
  Jun 25, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mmmh.....km rais wa nchi,alienda kuilipa Richmond hela usiku wa manane pale Jk nyerere,huwoni hii nchi niyakila mtu ajirarulie kipande yake kadri awezavyo...akili kumkichwa!!
   
 16. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #16
  Jun 26, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,237
  Likes Received: 5,620
  Trophy Points: 280
  hope kamana yeye ayuko kwenye payroll yao
   
 17. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #17
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,128
  Likes Received: 3,316
  Trophy Points: 280
  Sidhani, ukumbuki jinsi alivyo mkomalia yule mhindi pale surrender bridge.
   
 18. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #18
  Jun 26, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,482
  Likes Received: 12,744
  Trophy Points: 280
  hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  siri imefichuka kumbe babangu mdogo
  ni baridiiiiiii aluu!!!!ila bora kama ni joka la kibisa ,
  angekuwa mzima si angeiba zaidiii!!!
   
 19. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #19
  Jun 26, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Yaani hata wewe Flora ikatokea akakutembelea ghetto kwako halafu assume una chumba na sebule na usiku ukawakuta nyumbani kwako naye hawezi kurudi kwake wala usimuogope lala naye tu Hana madhara sana sana atakuingiza vidole tu
   
 20. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #20
  Jun 26, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,482
  Likes Received: 12,744
  Trophy Points: 280

  ahaa af baada ya kuingiza vidole .ananipa vogue na kadi au ndo ananitapeli ! lakini kwa utapeli wake anaweza
  kunipa kadi ya kimagumashi siku mbili naporwa vogue daaa huyu jamaa mkareeeeee!!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...