Papa Francisco aridhia ombi la Askofu Telesphor Mkude wa Jimbo Katoliki Morogoro kung'atuka kutoka madarakani

Uaiposali jumuiya hupati huduma yeyote ya kanisa

Hizi ishu hizi

Mfano Mimi huwa najitahidi sana nihudhurie church Ila huko jumuiyani sinaga mzuka nako

Ila ndio hivyo unawekwa blacklisted
Jumuiya ni muhimu sana, huko ndiko kanisa linapoanzia ndugu, jitahidi kusali jumuiya hata maramojamoja
 
Kanisa Katoliki bado lina changamoto kubwa ya upungufu wa majego.. Waumini mpunguze ubahili mtoe pesa mjenge sharika muache kusalia majumbani kwa watu.. Uvivu wa kujenga majengo umepelekea kugeuza nyumba za watu kuwa makanisa kiasi kwamba wasioupenda utaratibu huo wa jumuiya mnawanyima huduma za kikanisa kama vile ubatizo ambao Bwana wetu Yesu Kristo aliuleta kwa watu wote bila masharti.. Hii kwa mtazamo wangu, si sawa!
Hoja yako haina mashiko!!
 
Namtakia mapumziko mema.
Mwishoni wa utumishi wake katika kanisa umekua changamoto kwake kwa kweli.
Kule kuwa askofu aise na mamlaka yoyote hupelekea hate kutokupata heshima ilio mstahilikia.

Alipata skendo kubwa kidogo japo wameficha sababu za kumweka kando au za kumvua nyadhifa za kiuaskofu lakini ni Kama kashfa Fulani hivi aliipata.

Yote ya yote alikua ni askofu mzuri kwakweli tena mzuri haswa ila mwisho was utumishi wake umekua mbaya kidogo.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
MAMBO MENGINE MNAKAUSHA MAMBO YAENDE KASHFA NI JUU YA MWILI TOBA NI JUU YAKE NA MUNGU WAKE.
 
Kwani akizikwa na katekista kuna utofauti akizikwa na Papa achilia mbali askofu?
Nami nilitamani kujua...does it make any difference? Kama umeishi maisha yasiyosomeka hata jirani yako asiyejimudu kushindwa kumpa mlo mmoja na ukabahatika kuzikwa na Askofu, mbele za Mungu will it make any difference?
 
Mkuu naomba kujua maana ya monsinyori anakua ni mtu gan, kazi zake na anapewa cheo hcho na nan??
Kwa mm ninavyofahamu kwa kifupi monsinyori(Monsignor) ni cheo cha heshima kinachotolewa na papa/mamlaka za kanisa kwa padre aliyefanya kazi nzuri ya kutukuka mara nyingi wanakuwa above 50's.
Moja ya majukumu ya monsinyori huwa wanakuwa ni washauri wa karibu wa maaskofu huko kwenye majimbo yao.
Kiufupi hawa n mapadre waandamizi na hata mavazi yao huwa yanafanana na ya mababa maaskofu.
 
Shukrani mkuu kwa kunijuza
 
Uko sahihi mkuu. Kwa kuongezea tu ni kwamba mwaka 2013 mwishoni Pope Francis alifanya mabadiliko kidogo hapo kwenye umri, na ikawa ni kuanzia miaka 65 na kuendelea
 
Nami nilitamani kujua...does it make any difference? Kama umeishi maisha yasiyosomeka hata jirani yako asiyejimudu kushindwa kumpa mlo mmoja na ukabahatika kuzikwa na Askofu, mbele za Mungu will it make any difference?
Huwa wanajidanganya tu utafikiri ukizikwa na Askofu ndiyo unaingia mbinguni kumbe ukifa ndiyo historia yako ndiyo inakoma uzikwe usizikwe haiongezi wala kupunguza kitu kuhusu hali yako ya kiroho
 
Huwa wanajidanganya tu utafikiri ukizikwa na Askofu ndiyo unaingia mbinguni kumbe ukifa ndiyo historia yako ikome uzikwe usizikwe haiongezi wala kupunguza kitu kuhusu hali yako ya kiroho
Hili limeandikwa wapi? Nipe jibu

Ukikosa jibu basi kasome ule mstari unaosema "ombeni chochote kwa Jina langu nami nitawapa". Sasa kuwaombea marehemu siyo sehemu ya hicho chochote? Au unapenda tu kutupangia tufanye nini na nini tusifanye?
 
Hahahaaa, sitakuja kusahau yale maisha ya pale SPS. Yamesaidia sana kunifanya kua 'legend'. Nawakumbuka sana mwl Botta na Kilambo. Walinipokea pale. May their souls rest in eternal peace, amen.
Bila kumsahau Fr Gervas Teti
 
Back
Top Bottom