miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,414
- 10,970
Aiseee. mkuu nakushauri pumzikaaaa. Achaaaa kusema vitu ambavyo hata si vya kanisa lako. You know nothing kabisa. Unajichoresha sana. Stick na kanisa lako. Aliyekuambia hiwa ibada ni moja ni nani? Sharika sharika sharika sharika. Mbona nyie mumegeza mambo ya jumuiya? Na unajua lengo la jumuiya haswa ukiacha hii michango? Na wajua kama jumuiya ndiyo sehemu kubwa kabisa na pekee ambapo michango hukusanywa kirahisi? Ama ulifikiri tunaenda kumpelekea paroko? Na hiyo idadi ya laki 2 umeitoa wapi? Na ni kanisa gani hapa tz lina accomodate waumini laki 2 kwa pamoja? Pumzika aiseeIdadi ya washarika imeongezeka kwa wingi.. Majengo yanalemewa.. Piga picha pale Morogoro mjini kuna Wakatoliki zaidi ya laki mbili.. Je, sharika zilizopo pale Moro mjini zina uwezo wa ku accomodate waumini wote, iwapo wote wataamua kuhudhuria kwenye misa? Jibu ni hapana.. So kanisa linapaswa lihakikishe linakuwa na majengo ya kutosha ku accomodate angalau 75% ya waumini iwapo wote wataamua kuhudhuria ibada kwa siku moja.. Jiwekeeni lengo la kufikia huko.
Jumuiya msizifanye minyororo kwenye shingo za waumini.. Baseline standard ni 'Kuikumbuka siku ya Bwana na kuitakasa', yani Jumapili. Kuwalazimisha waumini na kuwa sanction wasio sali kwenye jumuiya Jumamosi huwa mnaitoa kwenye Biblia gani? Kwa nini mnaenda nje ya scope na kutaka kuligeuza kanisa kuwa kama la Kisabato?