PAPA FRANCIS: NIKO TAYARI KUWAPATANISHA VIONGOZI WA VENEZUELA

lukubuzo Samsis

JF-Expert Member
Nov 3, 2014
2,929
3,340
PAPA FRANCIS: NIKO TAYARI KUWAPATANISHA VIONGOZI WA VENEZUELA
-
Amesema yuko tayari kuwapatanisha Rais Nicolas Maduro na kiongozi wa upinzani, Juan Guaido
-
Hata hivyo Papa amesema atafanya kazi hiyo endapo ataombwa na pande zote mbili kufanya hivyo
-
Aliongeza kuwa amepokea barua kutoka kwa Rais Maduro ingawa bado hajaisoma na kujua ameandikiwa nini
-
Nchi ya Venezuela imekosa utulivu tangu mwaka 2010 wakati wa utawala wa Hugo Chavez na sasa hali imekuwa mbaya zaidi
-
Tangu wakati huo hadi sasa Wananchi wanailalamikia Serikali yao kwa kushindwa kutatua changamoto za Kiuchumi na Kijamii
#JF
jamiiforums-20190206-0001.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
#JFView attachment 1014918

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama jiwe anavyotuongezea changamoto za kiuchumi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ujumla viongozi wanaongang'ania falsafa za kijamaa ni wanawaletea wananchi wao shida. Kwa sababu ni nadharia isiyoweza kufanikiwa. Maduro kama ilivyo Tanzania haiwezi kufanikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Papa anajaribu kusuruhisha mgogoro wa Venezuela ambao una interest za Mataifa mbali mbali kwenye Mafuta. Ni uamuźi mzuri ambao naona kama Marekani itaupinga.
 
Back
Top Bottom