Truth Teller
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 1,624
- 2,880
Mkuu nimepitiaa na nikatafituKwa Geat Thinker kama wewe suala kuwa tu ni tetesi ingetosha kuwa fursa ya wewe kufanya utafiti ili uje na uyakinifu na hivi kuongeza kiwango chako cha kuwa Msanifu wa Mawazo na mambo yasiyo ya kawaida.Hiyo tu kufanya utafiti kuthibitisha kama yuko Jehanamu ingetosha kuwa awarded PhD.
Lakin kwa swala la imani!!
N ngumu sanaaa kuelewa na kuamini!!!
Narudia kwa swala la imani n NGUMU kuelewa na KUAMINI.
Coz nilisomaga jarida la MTU anayesemekana alienda mbinguni&kuzimu
Ndo akakutan na huyo.
Sasa hapo mkuu unanisaidiaje