Papa Francis kuanza ziara ya kihistoria Iraq licha ya hatari za usalama na virusi vya corona

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
6,930
2,000
FB_IMG_1614964209820.jpg
 
permanides

JF-Expert Member
May 18, 2013
6,241
2,000
Ni kweli mkuu kuna watu wamewabatiza wenzao jina la magaidi,yani leo jina gaidi halitumiki kwa mtu wa imani tofauti na hiyo imani. Leo hii hadi hiyo imani yao inaonekana ni ugaidi tu sasa hapo unafikiri kutakuwa na upendo? hebu jaribu kuzungumzia wale jamaa wa uamsho ndio utajua kama kuna upendo hakuna.
Usiongee vitu usivyovijua, hoja ya watu kusingiziwa magaidi inawezekana ipo ila si kwa hao uliowataja. Kuna syndicate ya kigaidi iliyokuwa imeanzishwa hapa Afrika Mashariki na Tz ilitumia nguvu na weledi mkubwa kupambana na ugaidi huo.Tuna ushahidi dhahiri kwa yaliyotokea Zanzibar, Tanga (mapango ya Amboni), Kibiti na tena uvamizi ukaenda mpaka vituo vya polisi. Mbaya zaidi vitendo hivi vilikuwa vinaratibiwa kutoka katika nyumba za ibada, just imagine handiki linachimbwa kutokea ilipo nyumba ya ibada!
Ila unapaswa kujua hawa watu walikamatwa wakati wa JK (mwislam mwenzao) ila kutokana na uhusika wao akaona wapo kwenye mikono salama.
 
UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
12,778

Naona umegongelea msumari kabisa kuonesha kuwa waislamu ni magaidi kweli na si wa kusingiziwa.
 
Fereke

Senior Member
Apr 13, 2011
147
500
Adventists some times it better to use our little common sense when arguing...ni kweli umekaririshwa...lakini tunakumbushwa kila siku.
ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZA KWAKO..
ETI
A=0
R=0
S=0
F=0
E=0
HUONI TU KWA KUTUMIA AKILI ZA MTOTO WA DARASA AWALI TUU AU MTOTO WA CHEKECHEA ANGEHOJI TUU JUU YA HILO.

U=5
V=5
BADO HATA HUSHTUKI EE.
HAKUNA KABILA,TAIFA WALA LUGHA DUNIANI ILIYOKUWA INATUMIA HIZO HERUFI AU TARAKIMU ZENYE KUJIRUDIA RUDIA.
KILA KITU KINALAZIMISHWA ILI TUU KULETA TAFSIRI OVU ILIYOKUSUDIWA.

ELIMU NI FREE UNAWEZA KUSOMA MENGI HATA KUPITIA INTERNET SIO KILA UNACHOFUNDISHWA HUKO NI KUSEMA AMEN TUU.BRAINSTORM FIRST.

samahani sana kwa lugha niliyotumia na wote waliokwazwa.sipendi kujihusisha kabisa na mijadala ya kiimani..but kusahihisha pale makosa ya kizembe yanapojitokeza na kusababisha upotoshaji.
 
Sio Adventist nimekutana na hii kitu kwenye page ya dini ya Judism ,wayahudi ndio wanadai hii maneno.Kwani utawala wa Pope una bifu na wayahudi?
 
Fereke

Senior Member
Apr 13, 2011
147
500
Sio Adventist nimekutana na hii kitu kwenye page ya dini ya Judism ,wayahudi ndio wanadai hii maneno.Kwani utawala wa Pope una bifu na wayahudi?
OK pole ndugu..ingawa wao hawaamini kuhusu Yesu Kristo so hata hicho walichoweka hata hakiwahusu..wamewaquote wakristu Fulani...ilianzishwa na ..Andreas Helwig 1612...baadaye yakaja kuchukuliwa kama mafundisho ya kanisa x..lakini baada ya kufanya uchunguzi kanisa hilo hilo likaja kuyakataa hayo hayo waliyokuwa wanayafundisha kupitia kiongozi wao na mhubiri wao maarufu..Le Roy Edwin Froom mwaka 1948...unaweza kusoma historia zao hao watu na historia ya hadithi ya hizo habari..ingawa hilo kanisa wengine mpaka leo bado wameendelea kushikilia hilo fundisho na wamegawanyika wengi wenye shule wamelipinga baada ya kufanya uchunguzi na kubaini lilikuwa fundisho la kizushi
Ila wenzangu na mimi wanaojua tuu A be Che de tuu bado wanaendelea kulifundisha mpaka leo kwa laymen people.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom