Kanchezo gani hako??
Kale ka magomeni kwa macheni, Zanzibar na Mombasa eti!
Kanchezo gani hako??
Ni hatari sana kwa usalama wa maisha yake...
Usidandie treni kwa mbele. Soma posts zote.
Haaaaa hivi kumbe wewe ni jini?
Isije kuwa kale kamchezo maarufu ka Vatikan.
Ukitaka kumsoma mtu udhaifu wake angalia mwelekeo wake anakoelekeza mada hata kama haiongelei maudhui hayo ni dalili tosha yu dhaifu ya anachojaribu kutushawishi kwa vile kama ni mpishi kila muongeleachoa hatakosa kugusa mapishi, ndicho anachokijadili FaizaFox.
Na maisha ya watoto wadogo wa kiume yako hatarini pia!
Utawala wa papa ni mbwa mwitu alievaa ngozi ya kondoo.
Bila shaka na wewe ni Shabiki wa Alhaji Le Professeri Kapuya.
Sana tu.
Alishawahi kukubaka mara ngapi...?