CYBERTEQ
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 7,341
- 4,045
Very dangerous. Anaweza kutekwa au kukumbwa na kashfa. Pili mimi sio muumini sana wa kutoa misaada kwa maskini. Tushughulikie matatizo yanayosababisha watu kuwa maskini hasa umaskini wa kulazimishwa. Sina uhakika kama Vatican kuna vijiji. Ni nchi ya wakazi kama 1000 fu
Mimi si muumini pia, lakini natambua juhudi za makanisa kukusanya pesa kutoka kwa waumini wenye nafuu na kwenda kuwasaidia maskini wasio na kitu. Kazi ya kushughulikia matatizo yanayosababisha umaskini ni ya wanasiasa, makanisa yanasaidia kuamsha wananchi kwa kutoa elimu, pia wanalijnda afya ya jamii, nadhani unatambua kuwa hospitali zinazomilikiwa na mashirika ya kidini zilivyo kimbilio kubwa kwa sasa!