Papa Francis atoroka Vatican usiku

Huyu Pope anatesa kweli walinzi.Anataka kuwa mtu wa kawaida huku akishika nafasi kubwa sana.

Hata Yesu aliwatoroka sana wanafunzi wake mpaka siku moja wakati wanamtafuta wakamkuta kisimani na yule mama msamaria na inaonekana wanafunzi wali- doubt kwamba alikua anamuimbisha yule mama
 
Hata Yesu aliwatoroka sana wanafunzi wake mpaka siku moja wakati wanamtafuta wakamkuta kisimani na yule mama msamaria na inasemekana wanafunzi wali-dought kwamba alikua anmuimbisha yule mama

Daaaaah...........Mbavu zangu jamani........inafikia hatua kila nikifiri hii post yako nacheka peke yangu watuwananishangaaa......JF jamaniiiiiiiiii.........acha tu
 
Daaaaah...........Mbavu zangu jamani........inafikia hatua kila nikifiri hii post yako nacheka peke yangu watuwananishangaaa......JF jamaniiiiiiiiii.........acha tu

mkuu check sourse hapa chini usidhani natania. Na inaonekana Yesu aligunduawa walichokuwa wanahisi ila hakutaka kujitetea akaendelea na shughuli zake, halafu mbaya zaidi ilikuwa mida ya kati y saa kumi na mbili na saa moja jioni, kisimani watu wawili? ndo maana tunakatazwa kuishi kwa hisia hisia vitu utapata stress ambazo hazikuwa za lazima

(John 4:27 [KJV])
And upon this came his disciples, and marvelled that he talked with the woman: yet no man said, What seekest thou? or, Why talkest thou with her?

(John 4:27 [NET])
Now at that very moment his disciples came back. They were shocked because he was speaking with a woman. However, no one said, "What do you want?" or "Why are you speaking with her?"

(John 4:27 [HCSB])
Just then His disciples arrived, and they were amazed that He was talking with a woman. Yet no one said, "What do You want? " or "Why are You talking with her? "
 
okey nimecheka sana pamoja na securty aliyokuwa nayo alitoroka
 
vatican kuna masikini,ombaomba,duh?

Vatikan ipo ndani ya jiji la Rome, Italy, na hakuna jiji duniani ambalo halina maskini na ombaomba. Ukitaka kutofautisha na shambani, ombaomba na maskini wako mijini kuliko shambani. Tembelea majiji yote duniani kama hutakutana na ninachokuambia utakuwa hujafanya uchunguzi wa kutosha na umetalii kwenye mahoteli ya maselebrete kama Faster Jet, aka Vasco da Gama.
 
Hapo unaji "contradict" na habari iliyopo post #1 :

kwenda kuwapa misaada maskini maeneo ya vijiji
 
Hata Yesu aliwatoroka sana wanafunzi wake mpaka siku moja wakati wanamtafuta wakamkuta kisimani na yule mama msamaria na inaonekana wanafunzi wali- doubt kwamba alikua anamuimbisha yule mama

Kisimani ni sehemu ya wazi na ni public place ambako watu wanaingia na kutoka.Swali ni je hao wanafunzi wake walimkuta huyo Yesu na huyo mwanamke usiku kama huyu papa anavyokutana na wanawake usiku ?
 
Back
Top Bottom